Ben unashangaa nini tena na wewe? Hawa watu sasa hivi ni shagalabagala, hakuna uongozi wa pamoja ndani ya serikali. Kila mtu anatoa tamko lake kama alivyofikiri usiku akiwa na wife kisha linakuwa la serikali.
Mwisho wa siku jambo moja Rais kalisemea vile,waziri vile,Nape kivyake na hata watendaji wengine vyao. Utadhani tafrija yenye pombe nyingi kuliko waalikwa.
Nakusahihisha kidogo mkuu. Nape hawezi kutoa tamko la serikali bali la chama. Mawaziri na rais ndio wenye dhamana ya kutoa matamko ya serikali.[/QUOTE
Unaishi wapi wewe bila kujua Tz yako? Hapa hakuna tofauti kati ya serikali na chama Tawala, Nape huyohuyo alishamwambia mkuu wa wilaya mmoja kuwa "nitakufukuza kazi" sasa hilo ni tamko la chama au serikali? Chunguza utofauti wa CCM na serikali halafu niambie.
Nyie viumbe mna matatizo kweli!! Na mnaonyesha jinsi mnavyofikiria KIPINZANIPINZANI. Grow up guyz.....Mkuu wakati mwingine ni vigumu sana kumuelewa Mh.SITA, yeye ni mwana sheria kitaaluma mtu ungetegemea angetumia walao lugha ya kidiplomasia kidogo, sina shaka alijua fika Mh.JK alitoa kauli hile akiwa na wadhifa gani na alikuwa anawakilisha nchi/kitengo gani cha AU; sasa hili la Mh. Sitta kutoa impression as if ni ugomvi baina ya watu wawili wanaosigana, ana maana gani? Binafsi kauli ya Mh.Sitta inanipa wakati mgumu sana kuielewa!! Kama kauli hiyo ingetolewa na Waziri wa Rwanda ningelewa ni propaganda lakini inapotolewa na Waziri aliye teuliwa na JK kwenye Cabinet yake basi mtu mwenye akili timamu unajua kauli hiyo haikutolewa kwa bahati mbaya, kuna tatizo - somewhere. Nasema hivi, kama Mh.Sitta hana spirit ya collective leadership basi ningemshauri ajiuzuru wadhifa wa Uwaziri ili ajiweke huru kusema apendalo.
Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
Sita na JK ni maji na mafuta, kamwe hawezi msapport wazi wazi!Hapa inaonekana,hata sita mwenyewe yupo,upande wa kagame.mbona kipindi hiki haja fwatuka,namaneno yake kama anapo washambulia wabunge,waviti maalum,napia kama waziri wadhamana haja wauliza wenzake mawaziri,hivyo vikao vyao vya nchi tatu badala ya nchi tano maana yake nini?east afrika ya sasa niunafiki.
Mwenye matatizo ni wewe ambaye una ushabeki wa kijinga, hutafakali mambo kiundani - unawezaje ku-support kiongozi ambaye mara zote anaonekana wazi wazi kumu-undermine mtu aliye mtehua kuwa Waziri!! Watanzania sio wajinga bwana, this guy is hell bent to tearing others down (JK included) by building himself up politically, ndicho kinacho endelea hapa - ana kawaida ya kuhungana na like mind wenzake kutoa Controversial statements aidha kwenye fund raising functions, vyuoni nk, anawakandia baadhi ya viongozi wenzake walio madarakani au nje ya madaraka kwa nini?? Kwa akili za kawaida tu, mtu ungetegemea kwamba Cabinet members wote wanapashwa kuwa kitu kimoja inapokuja suala la sisi na Rwanda, sasa anapotokea member mmoja kutaka ku-redefine msimamo wa mkuu wa nchi, hapo SITTA anataka kutueleza nini? Kwamba kuna a Govt within a Govt ndani ya Taifa letuu!! Mwisho nakushauri ujaribu kutumia lugha za kistaarabu unapo jadili jambo, haipendezi kuwatukana binadamu wenzako ambao unawaona wanatofautiana nawe kimsimamo, cha kufanya ni ku-agree to disagree basi.Nyie viumbe mna matatizo kweli!! Na mnaonyesha jinsi mnavyofikiria KIPINZANIPINZANI. Grow up guyz.....Binafsi sioni contradiction yoyote kati ya kauli ya J.K na S. Sita.kama mliisoma vizuri hotuba ya JK kuhusu huu mgogoro, basi mtakubaliana na mimi kuwa J.K hakukanusha uwepo wa mgogoro baina yake na KAGAME. A lifikia hatua ya kusema"" natishiwa maisha yangu na kuharibiwa sifa yangu"".Alichokifanya JK ni kuthibitisha kuwa mgogoro upo ila unasababishwa na kukuzwa na KAGAME. Na la msingi alilotuonyesha JK ni kwamba hakuna mgogoro baina ya WATANZANIA na WANYARWANDA, kuwahakikishia wanyarwanda kuwa tanzania haina nia wala dhamira ya kuivamia rwanda wala kusitisha uhusiano na wanyarwanda.....(ila hakutoa uthibitisho huo kwa P.KAGAME as a person)Sijui mnalolumbania hapo kwenye kauli ya SITA ni nini????Mnakua miili tu lakini akili zenu bado chekechea
Kuna umbali gani kutoka Brazili hadi Dar es salaam na kuna umbali gani kutoka Mtibwa (Morogoro) hadi Dar es salaam?
Then fananisha bei ya sukari kutoka pande hizo mbili zikifika dar inasomekaje?
Tanzania, kama zilivyo nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zina wizara mahsusi zinazohusiana na mambo ya Jumuiya. Hapa kwetu wizara hiyo inaongozwa na Mzee Samuel Sitta. Hii ni wizara ya wananchi, kwa sababu hiyo, wana haki ya kujua kinachoendelea.
Kwa muda sasa kumekuwapo jumuiya ndani ya Jumuiya. Nchi tatu-Rwanda, Uganda na Kenya-zinaketi na kufikia makubaliano ya masuala mbalimbali. Tanzania na Burundi zimetengwa. Yote haya yanafanyika Mzee Sitta akiwa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Kuna habari kwamba tangu kuanzishwa kwa Bunge la EAC, amehudhuria mara moja tu. Pengine hii ndiyo sababu inayomfanya asijue kinachoendelea. Mzee Sitta ajitokeze awaeleze Watanzania ukweli wa mambo. Je, mambo ni shwari au si shwari? Kimya chake wakati wananchi wakihoji bila kupata majibu kina maana gani? Nani kamziba mdomo?
Nawasilisha.

Hili ni suala la Ikulu na Foreign Affairs kwanza, ndio baadaye Samuel Sita na Wizara yake.