Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,169 Apr 12, 2011 #21 Ole said: Sasa huyo Mzanzibari kama ulivyosema mbona anatoa uchafu kutoka kwenye pua yake hadharani? Au hiyo ndio tabia ya Unguja? Click to expand... Aaaah Hapana bwana! Siyo kwamba jamaa kashika tama? Naona macho yako yana shida nenda Muhimbili haraka!
Ole said: Sasa huyo Mzanzibari kama ulivyosema mbona anatoa uchafu kutoka kwenye pua yake hadharani? Au hiyo ndio tabia ya Unguja? Click to expand... Aaaah Hapana bwana! Siyo kwamba jamaa kashika tama? Naona macho yako yana shida nenda Muhimbili haraka!
BinMgen JF-Expert Member Joined Jun 18, 2008 Posts 1,868 Reaction score 308 Apr 12, 2011 #22 Ole said: Sasa huyo Mzanzibari kama ulivyosema mbona anatoa uchafu kutoka kwenye pua yake hadharani? Au hiyo ndio tabia ya Unguja? Click to expand... Mbona na huyo mTanganyika nae anaonekana hivyo hivyo.
Ole said: Sasa huyo Mzanzibari kama ulivyosema mbona anatoa uchafu kutoka kwenye pua yake hadharani? Au hiyo ndio tabia ya Unguja? Click to expand... Mbona na huyo mTanganyika nae anaonekana hivyo hivyo.
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,342 Reaction score 2,528 Apr 12, 2011 #23 Vyote...............
Furaha Fedson Member Joined Mar 27, 2011 Posts 43 Reaction score 4 Apr 14, 2011 #24 kweli watu hamuoni, mna macho lakini hamuoni! amefanya nini tena mzanzibar wa watu? pozi tu hilo!