joto jingi kama hakuna feni wala kiyoyozi unategemea nini:bored::rip:
kijumba chenyewe hicho cha mikutano kilivyopigika kitakuwa na AC hicho? Wanadai ni Watanganyika ndio tumefanya wame losti. Tuwaacheni waende na salama. Eff Muungano.joto jingi kama hakuna feni wala kiyoyozi unategemea nini:bored::rip:
sTUPID THREAD
It is where the right hand of your avatar touches!
Huko kulowa umekonaje?
I concur!sTUPID THREAD
Jamani naona kama Samuel Sitta amelowa jasho kutokana na hilo shati alilovaa. Je, katoka jasho kwa sababu ya hoja za wazanzibari? Je, ukumbi hauna Air con? Je, ni afya njema? Je, ni matumizi makubwa ya 'energy' katika kufikiri kuwa anachokifanya hapo ni usanii kwa kulazimishwa na chama chake? Je, hakupatiwa maji ya kunywa ya kutosha kama inavyoonekana kwa jamaa aliyekaa kulia kwake (Mzanzibari) ikiwa ni ishara ya kuvunja Muungano? Je, alitaka kuvua hilo shati maanake alikwisha anza kufungua vifungo/ vishikizo?