Samuel Jackson vs Denzel Washington

Samuel Jackson vs Denzel Washington

Huyo black ametisha sana kwenye movies zake nying kama ile ya snakes on the plane
 
kila mmoja ana ladha yake hapo. danzel yeye ni mzee wa kazi mkono mkono tu ngumi jiwe

huku mwenzie anachanganya na comedy kidogo kuna muvi ya mwisho kuitazama ya huyo samwel nadhan inahusiana na mambo ya 'ubodigadi' ilinivutia
Movie inaitwa hit man's bodyguard
Ni balaa..
 
Kama wadau mnavyosema kila mmoja yuko vizuri katika role flani

Ila nadhani inategemea pia na director wa movie

Dnjango unchainge
The heatfull eight
na nyingine samuel yuko poa sana hasa akikutana na uyo director wa izo movie apo juu

Fence
2 guns
John Q
Equalizer 1&2
Danzel ni kisanga
 
Samuel L. Jackson ana muvi moja matata inaitwa The negotiator, hawa jamaa wote wako poa.
 
Mzee kijana... Ana dundika daaah huyu jamaa... Nimekumbuka kuna muvi yake mpya inatoka mwezi huu wa Tisa... Ngoja niangalie kama imeshatoka...
Denzel noma!...mzee muhuni sana yule
Kwenye 2 guns alinipa raha na ule mwendo wake!
 
Mzee kijana... Ana dundika daaah huyu jamaa... Nimekumbuka kuna muvi yake mpya inatoka mwezi huu wa Tisa... Ngoja niangalie kama imeshatoka...
Anadunda huyo balaa na matege yake... Napenda sana akitembea utafikiri anakata mauno[emoji15]
 
Mkuu hapo umwgusa patamu. Nashindwa yupi nimchague. Ila nafikiri Denze Washington yupo vizuri. Viva #American Gangstar #The equalizer
 
Kama wadau mnavyosema kila mmoja yuko vizuri katika role flani

Ila nadhani inategemea pia na director wa movie

Dnjango unchainge
The heatfull eight
na nyingine samuel yuko poa sana hasa akikutana na uyo director wa izo movie apo juu

Fence
2 guns
John Q
Equalizer 1&2
Danzel ni kisanga
Sam anafit ktk roles nyingi. Danzel anamovie zake, lazima awe serious saana ili afit. Nafkiri hili linamkosesha movie nyingi ( money). Sam anaweza cheza hata comed lakini Danzel sidhan
 
hahaa samuel jackson hawezi maliza movie bila kusema motherf....
 
denzel mlinganishe na kina morgan freeman labda ila uyo samuel ni kama mpoki tu apa tz
 
samuel namuelewa sana kwenye xxx 1-3 hitman bodgudy, rules of engagement, captain america.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom