Tatizo ni lako na si Samsung, zipo Samsung kibao zinakaa na chaji kuliko hizo ulizotaja.
Mfano hizo oppo ulizotaja zina weak soc ndio maana zipo slow jaribu kuchukua mfano wake kwa samsung A21s, perfomance ndogo na ukaaji chaji mkubwa.
Redmi 9 mfano wake ni A22 zina battery size moja na soc moja, pia ukaaji chaji hautofautiani sana na kitofautishi ni 90hz display ya A22.
Hivyo mkuu ukaaji chaji si Brand ya simu bali Technology husika ambazo zipo ndani.