wote
Millah na
chief-mkwawa mna point, millah kaangalia zaidi bei wakati mkwawa kaangalia features;
kwa mtazamo wangu; huyu jamaa alieuliza swali sidhani kama anahitaji features kali maana hata hajui ni galaxy note au tab,
ila kwa wazo la millah, kununua u.k. iyo ishu ingine, labda upate mtu ambae atakununulia, maana kununua online ishu mambo ya credit card etc. pia ukiangalia tofauti ni kubwa sana kama utanunua hapa na u.k!
mwisho wa siku muuliza swali ndo mwenye jibu, kama ana mpunga atanunua hapa. pia kamma ana anaemfahamu u.k aweza mnunulia au sio wadau