mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
ngoja waje mkuu
Dah 300k ngoja tujisukume humu.
Hivi anauza pia blackberry?Mkuu liljustine21 mimi naomba unisaidie kupata blackberry z30 second hand
Ukiipata kwa reasonable price niPM
Mkuu liljustine21 mimi naomba unisaidie kupata blackberry z30 second hand
Ukiipata kwa reasonable price niPM
Hizo hazina warranty. Kioo kikinivunjikia nianze kuingia gharama... nipo Note3 kwa laki 3
Hizi ni samsung mpya kama unavoziona..
Kuna Note 3 sitaki kuongea sana maamu picha mnaiona hiyo nataka unipe 690 tuu nikuachie
Kuna Note tuu pia.. Siongei sana leo jaman io nataka 480 tuu nikuachie
Kama uko tayari 0786371108 nichek hapo
Kule sehemu Sijui simu wanajumlia wapi maana wakati mwingine wanapishana hadi Laki nne na maduka ya kawaida.!Sawa kama unataka na warranty nikuelekeze mliman city?
Why can't you be honest? When I enquired about note 4 you said it has gone. We communicated in the evening and early morning you said it has gone. I am afraid you might be kidding.
Why can't you be honest? When I enquired about note 4 you said it has gone. We communicated in the evening and early morning you said it has gone. I am afraid you might be kidding.
Kule sehemu Sijui simu wanajumlia wapi maana wakati mwingine wanapishana hadi Laki nne na maduka ya kawaida.!
Why can't you be honest? When I enquired about note 4 you said it has gone. We communicated in the evening and early morning you said it has gone. I am afraid you might be kidding.