A72 ni kinanda dukani bila 1.2m huipati,Nina bajeti ya 800-850k naombeni mnielekeze nikanunue simu ya specs zipi. Ila mimi ni mpenzi wa Samsung. A72 zipo au A71? Na ni bei gani?
Nimeona mkuu, hizi capsule kwa hapa tz naweza kupata wapi na kwa pri range ipihii simu ni lowend sana mkuu, thamani yake around laki 2.
simu mpya mpya labda moto z force ya 2016 ina addon ya projector
ila kwa bei ya hizi simu why usinunue projector smart? kama Anker nebula capsule
Hapa sidhani kama utapata mkuu, hii ni ya kuagizishia. Kikawaida bei zake ni $300 mpaka $500 ila kwenye sale hadi $200 unazipata, ambayo ni kama laki 5 mpaka 6.Nimeona mkuu, hizi capsule kwa hapa tz naweza kupata wapi na kwa pri range ipi
Laki 8 uhakika, ukitafuta chini ya hapo kidogo unaweza ukapata.Naomba kujua bei ya A52 nojitose tena
Hii ni myth tu mkuu, s21 ultra mwaka huu ina betri nzuri kushinda flagship yoyote ile ya android, pia wana midrange nyingi zina battery life nzuri.Samsung ni simu nzuri kasoro BETRI LIFE
Mkuu ukisema kwa android naomba nikupinge kidogo, unaifahamu Asus ROG Phone 5?Hii ni myth tu mkuu, s21 ultra mwaka huu ina betri nzuri kushinda flagship yoyote ile ya android, pia wana midrange nyingi zina battery life nzuri.
Moto G power si flagship, ni low end tu visimu vya bei rahisi, na Rog phone 5 mwaka huu wamezingua, kwenye test za gsmarena Rog phone 5 ina endurance ya 110H wakati s21 ultra ina 114H. Na hapo S21 ultra ina display ya Quad HD na Rog phone ina battery kubwa zaidiMkuu ukisema kwa android naomba nikupinge kidogo, unaifahamu Asus ROG Phone 5?
Pia Kuna Moto G power etc
The Asus ROG 5 is the best gaming phone that appeals to non-gamers tooMoto G power si flagship, ni low end tu visimu vya bei rahisi, na Rog phone 5 mwaka huu wamezingua, kwenye test za gsmarena Rog phone 5 ina endurance ya 110H wakati s21 ultra ina 114H. Na hapo S21 ultra ina display ya Quad HD na Rog phone ina battery kubwa zaidi
Rog phone 5 si kama rog 3 na rog 2 kama unataka gaming phone bora ununue rog 3.
Zenji anapata kwa 1na 50k pale kwa AlibakeLaki 8 uhakika, ukitafuta chini ya hapo kidogo unaweza ukapata.
Ila kama upo vizuri tafuta A52s ambayo ni around 1m. Simu nzuri sana.
Ni sawa mkuu lakini rog phone 3 ni much better.The Asus ROG 5 is the best gaming phone that appeals to non-gamers too
Asus ROG Phone 5 review
The Asus ROG 5 is the best gaming phone that appeals to non-gamers toowww.techradar.com
Pole mkuu... siku nyingine ukitaka kununua Samsung nzuri zingatia Ram kioo na battery... hakikisha kioo kinakuwa Amoled au Super Amoled utaifurahia simu yako..Nilinunua A21's ilikua ya kawaida sana mpaka inaboa yan
Samsung nzurl ni N,s series
Mkuu wengi wanaangalia brand na sio specifications... kuna tecno inaitwa Phantom X ni balaa ila ukimwambia mtu atakuambia situmii tecno.. ila bei ni mkasi inachezea 1.1mNyie ndio mnaokimbilia(ga) kununua brand badala ya kuangalia good specifications...
Ni bora kununua tecno ya laki 5 kuliko samsung ya laki 5.
Unforgettable
Phantom X inatumia Helio G95 no way useme ni balaa. Ni soc ya midrange wajinga wanapigwa tu.Mkuu wengi wanaangalia brand na sio specifications... kuna tecno inaitwa Phantom X ni balaa ila ukimwambia mtu atakuambia situmii tecno.. ila bei ni mkasi inachezea 1.1m