Samsung wametoa Galaxy Note Edge flagship

ila kaka kuna flagship na highend.

tecno wanayo flagship ila hawana highend. flagship inakuwa ni kama symbol ya kampuni kuonesha technology yao imeishia wap


Well Said Mkuu.. Upo Sahihi Kabisa
 
kivipi mkuu


last month wife kataka iphone 5s nimemnunulia tena kwa tabu kweli baada ya ku consolidate funds kwenye vyanzo mbalimbali ikiwemo perdiems zangu..Juzi kaona mambo yenu haya ya edge kabaidilika anataka hiyo edge...na kuonyesha msisitizo kazidisha ufundi kweli na kuna style zingine ananipa sijawahi kupewa mwaka wa 9 huu kwenye ndoa..sasa si ni kunisababishia shida huku jamani..samsung please muwe na huruma jamani ..at least wekeni span ya 5 years ndio mtowe simu mpya...in fact iendane sawa na tarehe ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa rais basi na ninyi mnatoa simu mpya..na hili liingizwe kwenye katiba ....
 
Hezbend C6 nasikia kitu hot saiv ni I phone 6????
 
Last edited by a moderator:

Ninayo clone nauza laki tisa nikuuzie
 
samahani wakuu though ni nje ya
thread hii nna simu yangu inaitwa
t..mobile slidekick kama waweza
naomba nisaidie jinsi ya kuipatia
configuration za net,
wasalaam wakuu
 
halafu sis mbumbumbu wa simu na masikin pia, kuna hiz techno m3,h5,s3,p3,p5 zina vitu gan tofauti zake,halafu zipo hiz itel(inote) ambazo chin bei zaid ya techno,lakn wauzaj wanadai kila kilochopo kwenye techno na pia kipo kwenye itel
 
Asante Mamaafacebook kwa kuliona hilo.halafu ajue tu dunia ni ushindani ye akiwaza lak tisa pikpki mwenzake anawaza akaispend wapi

acha hizo wewe, clone ya laki tisa HAKUNA! S5 original yenyewe laki tisa, sasa hiyo clone ya laki tisa ni ya simu gani, naona umeshindwa kujibu swali!
 
Asante Mamaafacebook kwa kuliona hilo.halafu ajue tu dunia ni ushindani ye akiwaza lak tisa pikpki mwenzake anawaza akaispend wapi

Heenh cynthia huyo n.mume naogopa kumjibu ana.mashushu na.mzik wake hatar nikianza kujibu hii inavotakiwa naona atanitolea thread
CYBERTEQ hebu acha malumbano.dear hatufanani hali.zetu mpenz
 
Last edited by a moderator:
acha hizo wewe, clone ya laki tisa HAKUNA! S5 original yenyewe laki tisa, sasa hiyo clone ya laki tisa ni ya simu gani, naona umeshindwa kujibu swali!

Mmh hukubali kushindwa
 

Kwikwikwikwikwiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…