Samsung wametoa Galaxy Note Edge flagship

asante chief kwa elimu.basi mimi nilidhani flagship inakuwa moja tu kwa mwaka.basi samsung wametoa flagship 2 mwaka huu yaani s5 mwezi wa2 na mwezi huu note edge

pia sio lazima flagship itoke mara moja kwa mwaka sony yeye anatoa mara mbili. mwaka jana katoa xperia z na z1 na mwaka huu katoa z2 na z3. zote zilikuwa flagahip. makampuni kama huawei na lenovo wanatoa hadi flagship 5 kwa mwaka.
 
kwa wenzetu tecno unadhani flaghship yao kwa mwaka huu n ipi
 
die hard wa apple walishaanza kupanga foleni tayari, mimi pia ni die hard wa apple lakini kwa leaks nazoziona mitandaoni kama ndiyo wanabadili design kiasi hicho basi watanikosa, nitabaki na 5s yangu na nitanunua note edge maana imenivutia

Hadi sasa nawaza hyo design ya apple itakayotoka, na nina uhakika watu wengi wataikimbia na sofar ukiingia forums nyingi za apple watu wanagoma ku-urage toka 5S to 6 kwa ajili ya design mbovu, wanataka apple ibaki na identity yao moja tu.
 
steve jobs alikataa habari ya masimu makubwa. hata kama wanafuata trend ya phablets kwa vile soko lina wateja wengi sku hizi basi wangecheza na ipad mini, ile wangetengeza phablet badala ya tablet.

Ile round shape itakimbiwa na wengi, wangeweka yale matofali yao vilevile
 
Ile round shape itakimbiwa na wengi, wangeweka yale matofali yao vilevile

uko sahihi, lakini naona wanataka kuuza chama, wanabadlishana design na samsung sasa! btw, kwa vile wanatoa simu kubwa na ndogo ile ndogo inasemekana itabaki na design ya tofali
 
Left hand user ndio tutafaidi hiyo simu maana tunatumia dole gumba la kushoto ambalo ni flexible kwenda kulia. Right hand user yeye dole gumba ni flexible kwenda kushoto bro!

hehehehehe nimekubali asee Duuuu yan kuna watu wanaakili mpaka naogopa, nimependa kautafiti kako kavidole gumba aseee 👍👍👍👍👍 ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒
 
Dah ati ka-simu kamoja tu ni US $1,100, HUKU SI NI KUPOTEZA HELA? Kuna nn cha tofauti na mie mwenye tecno p5?
 
Dah ati ka-simu kamoja tu ni US $1,100, HUKU SI NI KUPOTEZA HELA? Kuna nn cha tofauti na mie mwenye tecno p5?

tofauti zipo. nyingi sana. na simmilarities pia zipo. nyingi tu.
 
uko sahihi, lakini naona wanataka kuuza chama, wanabadlishana design na samsung sasa! btw, kwa vile wanatoa simu kubwa na ndogo ile ndogo inasemekana itabaki na design ya tofali

Itakuwa bora kabisa, ile tofali ibaki kuwa ni identity ya apple tu. Hayo ya round hayana mvuto. Sivutiwi kununua
 
Ki ukweli samsung wananisababishia matatizo makubwa sana kwenye ndoa yangu
 
mhhh.ila haya maphantom yao wanayaita flagship

Hazijafka kwenye Flagship znaishia kwenye Midrange.. Kutokana znatumia Processor Za Bei Ndogo, Camera Mbaya, Hamna 4g, Screen Za Bei Ndogo Pia ... Nadhan kama zngekua znatengenezwa na huawei, zte, au micromax zngeuzwa mpaka laki mbili mpaka 250k.. ila kwakua tecno wez wanauzwA 400k mpaKa 500k
 
ila kaka kuna flagship na highend.

tecno wanayo flagship ila hawana highend. flagship inakuwa ni kama symbol ya kampuni kuonesha technology yao imeishia wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…