Samsung wajifunze kwa Apple

Samsung wajifunze kwa Apple

samsung ndo wametengeneza hiyo display ya iphone X ulitegemea kitokee nini???
Unajinadi kuwa wewe ni fundi, siku moja moja uwe unatembelea hata website ya ifixit ambayo ni maarufu kufungua simu mbali mbali. Hawa jamaa wamekuwa banned hadi Appstore maana wanatuambia each and everything kwenye iphone kimetoka wapi. Utapata ideas na ukweli kuhusu mambo mengi. Akili yako itafunguka na utaliview soko la simu kwa utofauti.
 
kuna sehemu nmejinadi kwamba mm ni fundi simu???? Show me....
 
kuna sehemu nmejinadi kwamba mm ni fundi simu???? Show me....
Well my mistake,unaweza ukawa sio fundi simu ila maelezo yako hapo nyuma kuhusu mother board na touch id etc yamenipelekea kusema hivyo.

Mtu yoyote mwenye ujuzi wa kufungua nategemea awe na uelewa na business model ya Apple na nini wanaeka kwenye simu zao.

Ulikuwa ni ushauri tu unaweza ufuata ama ukaupotezea.
 
Yaaani apple funboys nanyinyi mmeanza kuwa na majungu.

Yaani unakuja hapa kutaja simu za miaka minne/mitano nyuma kweli!!!

Tech inabadilika na kuboreka kila siku,ndio maana hata apple kwa sasa wamekuza screen na kuweka dual sim,ingawa mliponda sana.
Naona kwa Mara ya kwanza Apple Inc wanakuja na Dual Sim Card.
Nadhani watakuwa wamewasikia waafrika, Maana dual sim card ni Africa tuuu inatumika lakini uko duniani hakuna ivto
 
KAMPUNI ZA SIMU ZOTE DUNIANI ZIMEISHIWA UBUNIFU...WAMEBAKI WANATUUZIA DESIGNS ZA MAKASHA YA NA BIOMETRIC FEATURES K.V. FINGER PRINT, IRIS RECOGNITION, FACIAL RECOGNITION NA SKIN DETECTORS...TEKNOLOJIA HII INAFAA NA KUPENDEZA KWENYE VYOMBO VYA USALAMA NA MIFUMO YA MALIPO TUUU.

MAJESHI NA IDARA ZA USALAMA WA TAIFA WAMEKULA BUYU...HAKUNA KURELEASE TEKNOLOJIA KWA WAPUUZI TENA KAMA KAMPUNI ZA SIMU. Si kumbuka jinsi Apple walivyoidharirisha FBI kwa kushindwa kutoa Lock ya iPhone ya Jambazi huko US? eti oooh...we care about clients security...ikabidi FBI wachukue dogo moja la Ufaransa likatoa hiyo loki na kubeba mkwanja.

SHWAIN
 
Naona kwa Mara ya kwanza Apple Inc wanakuja na Dual Sim Card.
Nadhani watakuwa wamewasikia waafrika, Maana dual sim card ni Africa tuuu inatumika lakini uko duniani hakuna ivto
but laini ya pili nu eSIM.... bado slot ya kupachika laini ni moja tu
 
nilipata kusikia kuwa face ID inaweza kuwa tricked na picha...japo sina uhakika
 
Kila Apple akihama kwa samsung ama qualcomm kinachotokea unakijua na naamini unakijua ila unajibaraguza tu.

1. Huyo LG si anamtengenezea Google kwenye pixel na kampuni nyengine? Vioo vyake vyote vina makosa kibao cha ajabu yeye mwenyewe hatumii vioo vyale vya oled kwenye flagship yake. Nipo hapa nasubiria vikianza kuzingua ili tuanze tena kulumbana.
All of the Pixel 2 XL issues we've heard about so far (Updated)
Moja ya makosa ya oled za lg angalia kwenye hio thread.

2. Kama samsung ni mlipuaji wa oled basi duniani hakuna oled unajua fika benchmark zote za vioo zinaonesha vioo vyake ndio bora zaidi.

3. Kwenye iphone 6s si Apple alitumia watengenezaji wawili wa soc? Samsung na Tsmc?kilichotokea nadhani unakijua za samsung zikawa efficient zaidi na kuleta tabu baada ya hapo mwenyewe mbio mbio akarudi samsung.

1. Huyo LG si anamtengenezea Google kwenye pixel na kampuni nyengine? Vioo vyake vyote vina makosa kibao cha ajabu yeye mwenyewe hatumii vioo vyale vya oled kwenye flagship yake. Nipo hapa nasubiria vikianza kuzingua ili tuanze tena kulumbana.
All of the Pixel 2 XL issues we've heard about so far (Updated)
Moja ya makosa ya oled za lg angalia kwenye hio thread.
We unashangaa LG kutotumia OLED kwenye simu wakati Samsung mwenyewe kwenye tv zake hatumii OLED wakati ni bingwa wa kutenegeneza OLED.
Samsung ana QLED ila OLED LG anazo. Kwa hio usiwashangae LG.

3. Kwenye iphone 6s si Apple alitumia watengenezaji wawili wa soc? Samsung na Tsmc?kilichotokea nadhani unakijua za samsung zikawa efficient zaidi na kuleta tabu baada ya hapo mwenyewe mbio mbio akarudi samsung.
Mkuu unachanganya mambo kuanzia processor aina ya APL0098 mnamo mwaka 2007.
APL0278 mnamo mwaka 2008.
APL2298 mwaka 2009 katika iphone 3G.
Na baadaye A series kwa kuanza na A4.
A5 manufactured by samsung
A5X manufactured by samsung.
A6 manufactured by samsung
A6X manufactured by samsung
A7 manufactured by samsung
Ila kuanzia A8 TSMC wali manufacture kwenye iphone 6 na 6+, baadae walitengeneza A8X manufactured by TSMC kwenye ipad air 2.

SoC unayozungumzia wewe ni A9 kwenye 6s kama ulivyosema,hapa apple walitoa order sehemu zote mbili Samsung na TSMC,Samsung kama kawa wakaripua, mkuu soc ya TSMC ilikuwa bora zaidi kuliko ile ya Samsung na apple walikiri hilo wao wenyewe.
Samsung walitoa 14nm finfet na TSMC wakatoa 16nm finfet lakini cha kushangaza tungetegemea Samsung aishinde TSMC since chip zake ni 2nm smaller than TSMC lakini haikuwa hivyo Samsung alizidiwa na ndio maana sijamuona tena apple toka hapo kuanzia iphone 7 mpaka hii soc mpya A11 bionic ni TSMC, kama apple alikuwa anamtegemea Samsung si angerudi?
Mbona TSMC ana handle vizuri tu na hamwangushi?

Kwenye Soc manufacturing apple ameachana na Samsung toka kwenye iphone 6 toka hapo sijamuona tena apple mpaka leo kwenye iphone xs na soc aina ya A12 bionic yenye 7nm finfet process.
ars-battery-test.png

Tegemea miujiza apple kurudi kwa Samsung ku manufacture soc kama TSMC wanafanya hadi manufacturing ya 7nm na hawalipui kama Samung.
 
We unashangaa LG kutotumia OLED kwenye simu wakati Samsung mwenyewe kwenye tv zake hatumii OLED wakati ni bingwa wa kutenegeneza OLED.
Samsung ana QLED ila OLED LG anazo. Kwa hio usiwashangae LG.

Mkuu unachanganya mambo kuanzia processor aina ya APL0098 mnamo mwaka 2007.
APL0278 mnamo mwaka 2008.
APL2298 mwaka 2009 katika iphone 3G.
Na baadaye A series kwa kuanza na A4.
A5 manufactured by samsung
A5X manufactured by samsung.
A6 manufactured by samsung
A6X manufactured by samsung
A7 manufactured by samsung
Ila kuanzia A8 TSMC wali manufacture kwenye iphone 6 na 6+, baadae walitengeneza A8X manufactured by TSMC kwenye ipad air 2.

SoC unayozungumzia wewe ni A9 kwenye 6s kama ulivyosema,hapa apple walitoa order sehemu zote mbili Samsung na TSMC,Samsung kama kawa wakaripua, mkuu soc ya TSMC ilikuwa bora zaidi kuliko ile ya Samsung na apple walikiri hilo wao wenyewe.
Samsung walitoa 14nm finfet na TSMC wakatoa 16nm finfet lakini cha kushangaza tungetegemea Samsung aishinde TSMC since chip zake ni 2nm smaller than TSMC lakini haikuwa hivyo Samsung alizidiwa na ndio maana sijamuona tena apple toka hapo kuanzia iphone 7 mpaka hii soc mpya A11 bionic ni TSMC, kama apple alikuwa anamtegemea Samsung si angerudi?
Mbona TSMC ana handle vizuri tu na hamwangushi?

Kwenye Soc manufacturing apple ameachana na Samsung toka kwenye iphone 6 toka hapo sijamuona tena apple mpaka leo kwenye iphone xs na soc aina ya A12 bionic yenye 7nm finfet process.
ars-battery-test.png

Tegemea miujiza apple kurudi kwa Samsung ku manufacture soc kama TSMC wanafanya hadi manufacturing ya 7nm na hawalipui kama Samung.
Umeenda kunit pick benchmark zako? Hilo ni graph la Arstechnica sio?

Tomshardware waliconclude ya samsung ni bora zaidi
iPhone 6s: Samsung And TSMC A9 SoCs Tested

Qled ni oled pia kama vile ilivyo amoled. Hata kwenye simu samsung hatumii neno Oled anasema Amoled.

Hapo ni kama unasema samsung hatumii gari anatumia toyota.
 
Samsung kuna kitu inapaswa wajifunze kutoka kwa wapinzani wao apple inc,nasema hivi kwa sababu haya ni maoni yangu binafsi na mtazamo wangu juu ya kampuni kubwa kama hili kuwa kila siku wanafanya mambo ya kukurupuka.

Samsung imekuwa ni kampuni inayoweka vikolombwezo viiingi kwenye simu hali ya kuwa havina hata umuhimu wowote ule bali ni ujanja wa kumkamata mteja,nitarudi nyuma kidogo tukumbushane na tuje sasa ili kuona ni lini Samsung atajifunza?

Yafuatayo ni mambo ambayo Samsung anapaswa kujifunza.
-Waache kuweka hardware/software features kwenye simu zao amabazo ni useless.
-Waache kuweka feature kabla ya kuzifanyia re-search ya kutosha(Kukurupuka)

Useless features.
Tazama face unlock kwenye Samsung galaxy s3/note 3 n.k.
Japo ni simu ya zamani lakini kampuni kubwa kama hii inapaswa kuona mbali zaidi,haina ubishi Samsung galaxy s3 ilifanya mapinduzi makubwa ilipotoka june 2012.
Moja ya feature iliyokuwa nayo hii simu ni pamoja na face unlock,nashindwa kuelewa kwa nini samsung waliweka hii feature,accuracy yake ni mbovu sana nadhani iliwekwa kuwatoa ushamba watu ili kuwapiga pesa vizuri.
maxresdefault.jpg

Face unlock Samsung kwanza waliiweka nadhani hata hawakuifanyia re-search,hii feature kwenye Samsung ilikuwa inaweza kuwa tricked na picha ya kwenye karatasi.
Samsung ilikuwa kwenye competition na apple iPhone lakini sikuona hiko kitu kwa iPhone mpaka tulipokuja kushuhudia kwenye face id yenye security na kutumiwa kwenye payments.
Ni moja ya feature ya kipuuzi ambayo Samsung waliziweka.

Features zingine ni kama smart scroll ile inayo track eye balls zako ukiwa unasoma na smart stay ile inayo pause video ukitazama pembeni.
Sijashuhudia hizi feature kwenye iphone kutokana na kutokua na umuhimu,hata kama tukiuliza watu 100 wenye note 3 tuwaulize wangapi wanatumia smart scroll 10 hawatofika.

Heart beat rate sensor kwenye Samsung galaxy note 4
Samsung hawakuchoka kuweka mapambo kwenye simu zao na sasa ni heart beat sensor ambayo nimeitumia binafsi na haina accuracy,sasa sijui wanaweka kwa nini?
Kuna watu niliona mtandaoni wana complain heart rate sensor inasoma mpaka 150 bpm,hivi ukifikia hii stage utakuwa hata unaona kweli?
Mimi binafsi nilitest unaweza kusoma 67 sasa hivi baada ya dakika ukiweka inasema 104 baadae tena inarudi 65.
this is complete a joke.
Sensor ipo kwenye apple watch ambayo acccuracy yake ni 97%, ambapo hata iphone x haina heart rate sensor.
p1060377.jpg

Kulipuka kwa Samsung galaxy note 7
Samsung kwa mara ya kwanza walisema kuwa ilikuwa ni shoti kwenye circuit na battery lakini baada ya watafiti kufanya hili jaribio kwa hivi vifaa kwa kutumia safe batteries bado simu ilikuwa inachemka sana hivyo kupelekea galaxy note 7 kukatazwa rasmi katika matumizi.
Tatizo lilikuwa kwenye power management features,hii ni simu ya kwanza kabisa kwa Samsung iliyokuwa na USB-C na ilikuwa ina charge only 35 minutes na tayari imejaa,pia ilikuwa na charge ya kawaida kama convertor.
Tatizo lilikuwa ni tokana na uzembe kama vile kuweka 3500mah battery kwenye simu yenye 7.9mm thin, pia kulikuwa na manufacturing problems,nadhani hapo unaona battery ilivyobanwa,yote hii ilikuwa ni kuipa maisha marefu simu katika matumizi ya battery.

Uzembe huu ulipelekea over heating na simu kuripuka ovyo hivyo kuwa hatari zaidi kwa watumiaji.

Pink line
Tuache mambo ya zamani,je Samsung wamejifunza nini nyuma?
Nadhani mmeshuhudia baadhi ya simu hasa s7/s6 edge zikiwa na pink line kwa pembeni mara nyingi upande wa kulia,mara ya kwanza niliona simu ya rafiki yangu nikadhani labda aliiangusha lakini nilizidi kuona watu wa karibu yangu tena kama wa 3 nao simu zao zipo hivyo ikabidi ni fanye re search ndogo kwenye mtandao,sasa huko nilikuta watu wengi wakilalamika hasa kwenye forums za samsung nao simu zao zipo hivyo wala hawajawahi kuziangusha wala kukalia simu bahati mbaya.
Pink line of pixels down edge screen - Android Forums at AndroidCentral.com
Kulikuwa kuna njia tofauti tofauti za ku fix na mara nyingi ilikuwa ni hardware problems,watu wengine ilibidi wazitume Samsung ili kusudi warekebishiwe.
aHR0cDovL21lZGlhLmJlc3RvZm1pY3JvLmNvbS81L1kvNjQ2OTE4L29yaWdpbmFsL215Y2Utc2Ftc3VuZy1nYWxheHktczctZWRnZS1waW5rLWxpbmUtZGlzcGxheS5qcGc=

Binafsi sijafuatilia tatizo linasababishwa na nini lakini hili limetokea ghafla baada ya Samsung kuingia kwenye vioo vya edge,nahisi hawakufanya pia re-search ya kutosha na walikurupuka kama kawaida yao.

Binafsi siku Samsung wakijua kutengeneza simu nitatumia lakini bado wana safari ndefu hasa kushindana na kampuni kama iPhone.
Nimenunua note 7 2016 imelipuka 2017 nanunua edge inaleta pink line utanishauri nini?niendelee kutumia Samsung?

View attachment 865705

Kuna vitu vingi sana bado sijavizungumza mungu akipenda nitaendelea...............

yawezekana ukawa wakala w apple, samsung ikizingua tunahamia OPPO
 
Ko upande wa apple hujaona drawback yoyote?
Kwa upande wangu, Apple wanamiss katika utengenezaji wa Fingerprints. Simu za apple ambazo zipo mikononi mwa watu zinatumika, 50% zimekufa fingerprint.

Sio kweli ✍️✍️✍️Simu yoyote ya Apple yenye future ya Fingerprint endapo ukibadilisha kioo inabidi urudishee ile ile sio kuwekaa tofauti So endapo ukishindwa kuirudisha ndo unakuwa mwisho wa ku Unlock kwa fingerprint
NB:Tatizo la watu wanaotubadilishia vioo wengi hawafahamu kama wakimiss place ile Fingerprint haifanyi kazi tena.....watabaki kukwambia kazi yangu ni kubadilisha kioo si vingne kumbe uku kashakubadilishia Bila kujua kasababisha ttzo lingine ndo unakuta 50% unayoisema sm zao hazi Unlock kwa Fingerprint
 
Hata mimi natumia iPhone 6 naomba unisaidie kitu. Nikitaka kuprint document kwenye iphone yangu nikichomeka USB wire kwenye computer naona tu picha documents sizioni nifanyeje?

Kwanza inabidi hiyo Printer iwe ina Wifi then ndo uweze print kwa kutumia Iphone yako
 
Sasa kwanini ife wakati wa replacement,na wakati ni swala la kawaida matengenezo??

Haifi sema Mafundi wanajikuta wanatumia nguvu kutoa kibati cha juu ya kioo ambacho kina mkanda wa Fingerprint
 
Kwanza inabidi hiyo Printer iwe ina Wifi then ndo uweze print kwa kutumia Iphone yako
Shida ni kwamba nikichomeka USB kwenye computer sioni document yoyote niliyotumiwa kupitia whatssap ila picha naona
 
Umeenda kunit pick benchmark zako? Hilo ni graph la Arstechnica sio?

Tomshardware waliconclude ya samsung ni bora zaidi
iPhone 6s: Samsung And TSMC A9 SoCs Tested

Qled ni oled pia kama vile ilivyo amoled. Hata kwenye simu samsung hatumii neno Oled anasema Amoled.

Hapo ni kama unasema samsung hatumii gari anatumia toyota.
Watu wengi wanachanganya kati ya QLED na OLED technology na hizi ni teknolojia mbili tofauti kabisa na zinawachanganya wengi tokana na neno LED kwenye QLED wakidhani ni aina ya OLED, nachoweza kusema ni kwamba QLED ni LCD technology.
QLED ilitumika na Samsung kwa sababu za kibiashara baada ya kutokua na Tv za OLED na wakitaka ushindani wa kibiashara dhidi ya TV za LG za OLED na zile za Sony OLED.
Ni kweli Samsung hana tv za OLED ila ana tv za QLED ambapo watu huifikiri ni sawa na OLED.

QLED haina utofauti na LCD kwa sababu teknolojia zote hizi lazima utumie backlight ili uone picha kwa mbele wakati OLED haina backlight.
OLED ni self emissive wakati QLED sio emissive hapa namaanisha kuwa OLED inatengenezwa na taa(LEDS ndogo sana) nyingi sana zenye rangi tofauti na huwa zinawaka na kuzima pindi umume unapopita wakati QLED sio emissive kwa sababu ipo kama LCD kwa kuwa inategemea backlight, naposema backlight namaanisha inatumia mwanga toka nyuma au reflector.

OLED TV ni ghali zaidi kuliko QLED na pia hata siku moja huwezi QLED ikawa nyembamba kama OLED na pia ulaji wa moto wa QLED ni zaidi ya OLED.

Kitu kingine ni true black ya QLED sio nzuri kama OLED since QLED inatumia backlight.
6a3edb9b-0e8e-4468-bd57-244ecf90affd_1.ec9f649d7902e5962e639b94a6d4c100.jpeg

Hio tv hapo juu ni ya LG inaitwa LG signature ni OLED tazama wembamba wake na inaweza kujipinda tokana na wembamba wake.
lg-oled-wall-mount-1-2-920x518.jpg

LG signature inapinda.
Usitegemee kuja kuona QLED inapinda kama hii LG na pia siku zote QLED ni nzito.

Unachopaswa kujua ni kwamba QLED maana yake ni Quantum dot dispaly-LED,na QLED ni LCD yenye Quantum dots hivyo ndivyo tunaweza sema, QLED ni aina ya LCD ila sio aina ya OLED.

Kila mtu anapenda OLED tv kuliko QLED tokana na uwezo mzuri wa kuonesha wa OLED na kama una pesa kwa nini utazame QLED?
 
1. Apple anafanya research ya kutumia Quatum dot katika vifaa vyake vinavyokuja na Quantum dot ni future ya vioo badala ya Oled naomba simu ama macbook ya Apple ikitoka uje uiponde no double standard please.

2. Sababu Qled ya Samsung haijafikia viwango halisi vya Qled haimaanishi eti ni technology inferior. Hii inakuwa na hizi ni sifa za Qled pindi itakapokamilika
-ni nzuri kwa vifaa flexible kuliko Oled
-ni self emitting kama oled
-ina brightness kubwa kushinda oled
-ni durable zaidi na haina screen burn in

Na hizo Qled za sasa sio LCD ni LED zinatotumia LCD backlight sio self emiting na sio inferior kila idara kwa oled kuna maeneo oled ipo vizuri na kuna maeneo Qled ipo vizuri.
Angalia huu uzi digitaltrend
QLED and OLED may have similar names, but they're totally different technologies

Hapo utaona vitu kama durability, brightness, size, accessibility Qled ipo juu zaidi,na ikigain tu self emmiting dots Qled inakuwa superior. By 2020 Qled itakuwa on top of Oled.
 
Back
Top Bottom