Samsung wajifunze kwa Apple

Ko upande wa apple hujaona drawback yoyote?
Kwa upande wangu, Apple wanamiss katika utengenezaji wa Fingerprints. Simu za apple ambazo zipo mikononi mwa watu zinatumika, 50% zimekufa fingerprint.
Kwa sasa wameamua kuachana nayo mkuu.
 
Utafananisha super amoled na ips?
Apple mwenyew kweny iphone x ikabid afunge display za samsung

iPhone X haitumii display za Samsung , zile ni display za apple wao ndo designer , specs wise na technicalities zote ni apple , Samsung kapewa afanye manufacturing tu kwa maelewano na ndo maana oled za apple ni tofauti ni za Samsung ..

Recently inasemekana apple watampa au wamempa LG pia kazi hiyo kwa sababu mbali mbali ikiwemo kuwahisha uzalishaji..
 
Nimesema kuna shida kwani?
Mtoa mada kasema wajifunze, sasa hao sumsung walioambiwa wajifunze hawapaswi kuuona huu ujumbe?
Una matatizo na ni mtu mnafki sana usiyesimama ktk msimamo wako, ulianza kuandika ujumbe ukimaanisha Samsung hawawezi kusoma bandiko la mleta mada humu, umejibiwa unaanza kurukaruka.
 
Utambue kuwa Sumsang inaongoza kwa kuwa na wateja wengi Duniani, niliona commet za watu majuzi katika mitandao ya jamii huko majuu inaonekana Apple wako nyuma Sumsang kwa masuala ya tecnolojia za simu
 
Asante, twende kwenye mazuri....
 
Ulitegemea kupata nini kwenye note five???maana mimi nina iphone 6+ plus hapa nikikwambia natafuta camera safi humu utaniona kichaa.
Nina s5 natarajia kuhamia 6plus Mkuu, vipi ni kimeo? S5 camera zote zipo poa saana. Performance ya simu yaridhisha, sababu kubwa ya kutaka kuhama ni kubadili tu simu nihamie ios.
 
I just needed a perfect phone with everything on it..qualities ambazo ni unique..maana me nikitumia LG na samsung nakua sina tofauti na mtumiaji wa tecno
Thread ina hoja zenye nguvu ila wewe umeanza kuleta mizaha.
 
Nina s5 natarajia kuhamia 6plus Mkuu, vipi ni kimeo? S5 camera zote zipo poa saana. Performance ya simu yaridhisha, sababu kubwa ya kutaka kuhama ni kubadili tu simu nihamie ios.

Ni simu nzuri,hasa ukipata mpya,maana betri inajitahidi sana.
 
Ah nimeshangaa mtu anasema mwenye 5 yuko outdated while ana ios 11,na ina pewa full support kutoka apple.sasa kwa logic hiyo hata mwenye 8 ni kima tu.

Kuwa na iOS 11 haimaanishi hauko outdated , mimi Nina IPad Air 1 nimeweka iOS 12 kuna mshkaji mmoja ana IPad Air 2 kaweka pia iOS 12 lakini kuna vitu anafanya me siwezi. Apple hawadanganyi wakileta feature wakaona ina demand specs kubwa basi wale wa specs ndogo wataikosa mfano mzuri iphone 4 huwezi weka app ya Facebook inakataa kabisa kwa sababu wanajua wakiiweka itasumbua.

iPhone 5s haiwezi ku run augmented reality yan ikiweza unakuta app moja tu nayo inakuwa ina lag sana na inakula sana charge , Ar inaanzia iphone SE na kuendelea hata iPhone 6 na 6 plus haziwezi achilia mbali animoji na true depth camera ambayo ni iPhone X na kuendelea hata kwenye 8 hamna

Hapa nimeweka attachment hiki kitu kipo kwenye iphone tu hamna simu nyingine ina kitu kama hiki

Hao vijana wanacheza basketball na kwa kutumia iphone unaweza jua mtu kainama angle kiasi gani, arushe kwa angle gani ili afunge,ukajua accuracy , speed ya Mpira na mambo mengine

Picha nyingine inaonesha watu watatu wakicheza game ambalo wanachezea mezani kwa pamoja huku wakiona kupitia simu,. Sasa muulize mtu wa 5s, 6, kama anaweza kufanya hivi
 

Ndio maana nikasema ambaye yuko uptodate ni mmoja tu kabla 21 sep.iphone x pekee.
 
Utambue kuwa Sumsang inaongoza kwa kuwa na wateja wengi Duniani, niliona commet za watu majuzi katika mitandao ya jamii huko majuu inaonekana Apple wako nyuma Sumsang kwa masuala ya tecnolojia za simu
Anhaa nilidhani Samsung kumbe ni Sumsang inaweza ikawa.
 
Hahaha wabongo bhana eti "siku Samsung wakijua kutengeneza simu ntaanza kununua" muulize swali katika maisha yake kagundua/kutengeneza nn…… ngojea jibu lake sasa.
 
Udumu nayo vip wakati kina 8,x,xs,xx,cr.zote zinakuhitaji mteja wake kindakindaki!!!!!
Mi sina pressure kwenye maswala ya simu. Naweza kutumia simu kwa hata miaka miwili then ndio nabadilisha. Mfano iPhone 6s nilitumia more than a year bila kufikiria kununua simu nyingine. Ni mvivu sana wa kubadili simu labda niipoteze
 
Iphone x
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…