Samsung SIII-nanunua kwa laki 4

Samsung SIII-nanunua kwa laki 4

TZX2012

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
95
Reaction score
17
Wakuu natanguliza salaam.
Naomba mwenye simu hiyo hapo juu kama ni mpya au used si zaidi ya miezi 2 ili mradi ina warranty.
Kama kuna mwenye aina tofauti pia lakini ambayo ni nzuri kwa ajili ya Internet(ISP wa ki Tanzania) naomba ani PM niiangalie,
Natanguliza shukurani.
T
 
Are you serious? galaxy s3 kwa laki nne!!!! Labda upate ya kichina mkuu
 
Dooh Amelie,Tanzania kwa pesa hiyo ukiongeza 80Thousand ukienda kwa dealer yoyote hata kwa Samsung wenyewe unapata mpya na warranty in a box.Mimi hata ikiwa s/hand sio tatizo la maana iwe inafanya kazi.Asante kwa ushauri.
laki nne?mimi nilinunua euro 400 na ni second hand,labda utapata
 
Back
Top Bottom