SAMSUNG S7 EDGE 32 GB

Barackachess

Senior Member
Sep 1, 2018
156
121
Simu ipo kwenye hali mzuri sana, Haina mchubuko ipo smart, Ina mfumo wa kupiga picha za HDR , SLOW MOTION, Na ina extra software ajili ya ulinzi wako tofauti na simu nyingine.

Ina tatizo la Mic,
Mic yake mpaka uvae earphone au uweke loudspeaker ndo inafanya kazi, Pili kioo chake kina mstari kwa mbali sana kwenye edge ambapo ni swala la installation tu, Japo haiathiri chochote na haidhuru kwa lolote na simu ni nzuri sana kuliko unavyo dhani bado mpya,

Gharama ya simu nikitengeneza vyote hivyo ni laki 6. Nikikupa ukatengeneze mwenyewe ni laki 4 (Simu mpya ikikusumbua nirudishie)

Napatikana Wazo hills, Dar Es Salaam, Simu namba 0746793497 WhatsApp +447480722805 tafadhari tuwasiliane kwa walio serious tu.

Situmi simu mkoani, Njoo nikupe simu mkono kwa mkono na sipokei pesa kwa mpesa wala tigo pesa njooo na pesa cash.
20190427_084833.jpeg
 
Umeelekeza vizur mkuu, na price ni very reasonable..ila kuhusu mstari huwa unaDevelop as days goes on!
 
Back
Top Bottom