Samsung S6 plain na Samsung A10s

Samsung S6 plain na Samsung A10s

Hallo,

Yaaani mleta mada, kanigusa. Kwani hata mm wakati natafuta simu ya bei rahisi baada ya kupoteza Iphone yangu 8. Nililazimika kufanya uamuzi mgumu sana kati ya S6 Vs A10s,

Binafsi nlipendelea S6 kutokana na ubora wa camera yake. Ila lilipokuja swala la perfomance kwenye battery, wengi wakanishauri, ni vzuri nichukue S10s japo Camera haiko poa kama S6, ila ningefurahia perfomance ya Battery na pia iko na OS ya Android 9, pia inapokea updates mpya ya Android 10.

Wataalamu wa mambo wanadai, kuwa screen ya S6 ndiyo sababu ya battery kutokukaa na chaji. Jnakula sana chaji wakati ikiwa ON.

Ukweli kuhusu A10s.
Tokea nmenunua A10s, sijajutia, isipokuwa tu Camera yake hainipi kile nlichokuwa nakipata toka Iphone 8. Kwenye Camera wamefeli.
Ila upande wa Chaji utaipenda.

Sent using [Iphone XS Max]
 
Hallo,

Yaaani mleta mada, kunigusa. Kwani hata mm wakati natafuta simu ya bei rahisi baada ya kupoteza Iphone yangu 8. Nililazimika kufanya uamuzi mgumu sana kati ya S6 Vs A10s,

Binafsi nlipendelea S6 kutokana na ubora wa camera yake. Ila lilipokuja swala la perfomance kwenye battery, wengi wakanishauri, ni vzuri nichukue S10s japo Camera haiko poa kama S6, ila ningefurahia perfomance ya Battery na pia iko na OS ya Android 9, pia inapokea updates mpya ya Android 10.

Wataalamu wa mambo wanadai, kuwa screen ya S6 ndiyo sababu ya battery kutokukaa na chaji. Jnakula sana chaji wakati ikiwa ON.

Ukweli kuhusu A10s.
Tokea nmenunua A10s, sijajutia, isipokuwa tu Camera yake hainipi kile nlichokuwa nakipata toka Iphone 8. Kwenye Camera wamefeli.
Ila upande wa Chaji utaipenda.

Sent using [Iphone XS Max]
sio wamefeli mzee baba,ndio mikakati hiyo.

waweke camera kali kwenye simu ya laki tatu,ya milioni 2 wataweka nini tena!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom