Vip kuhusu m31 nayo ikoje?Wee chukua hiyo a10s achana kabisa na hiyo s6 ilinikera betri tu.
Unaamka 100% lkn haifiki saa 7 japo ina camera nzuri lkn hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip kuhusu m31 nayo ikoje?Wee chukua hiyo a10s achana kabisa na hiyo s6 ilinikera betri tu.
Unaamka 100% lkn haifiki saa 7 japo ina camera nzuri lkn hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
SafiA10s camera safi
Sent from my iPhone using Tapatalk
je unaweza ku install google camera kwenye Samsung A10s na quality ya camera ikawa nzuri I mean picha zitakua na ubora mzuri tuu compared na s6??Kwa performance chukua s6, ila kama unataka battery basi a10s..s6 kali sana shida battery tu
Sent using Jamii Forums mobile app
je unaweza ku install google camera kwenye Samsung A10s na quality ya camera ikawa nzuri I mean picha zitakua na ubora mzuri tuu compared na s6??
M31Vip kuhusu m31 nayo ikoje?
Hv mkuu s7 kuhusu betri maana ni addicted sana s series onlyHii sio sahihi kabisa...kuna mawe ya miaka na yanakimbiza hizi simu za sasa
Unataka kusema Tecno k7 itakimbiza Samsung s5 ?kisa k7 ni ya miaka ya sasa?
Ungekua specific kwamba kuna baadh ya models na sio overall kama ulivyo sema ww
Mimi hata hiyo a10 siwez kuchukua nikaacha s6 kisa battery life sio nzur sana..s6 bado ni jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau S7 edge ina 3600mAh.Hv mkuu s7 kuhusu betri maana ni addicted sana s series only
Mkuu hizo samsung M series ni mawe yana hatari sana kwa mfano M30s ina battery la 6000mAh memory 128GBVip kuhusu m31 nayo ikoje?
Mkuu hizo samsung M series ni mawe yana hatari sana kwa mfano M30s ina battery la 6000mAh memory 128GB
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani kwa hapa bongo nami nitafute au hazipatikani kabisa?
Zinapatikana ila hasa online, toleo la M-series la mwaka huu samsung walilenga online market... kwaio hata kwenye store zao hutaikuta labda sample..Bei gani kwa hapa bongo nami nitafute au hazipatikani kabisa?
Hizi zipo chache kweli na dukan ni ngumu kuzipata maana zililengwa kuuzwa online tuuNinayo hapa.dude linakaa na chaji asubuhi mpaka usiku.ziko chache sana sokoni
Uliinunulia wapi?Hii lambda ufananishe na A50 View attachment 1405877
Sawa kiongozi ngoja nijipange nikiwa tayari ntakutafutaZinapatikana ila hasa online, toleo la M-series la mwaka huu samsung walilenga online market... kwaio hata kwenye store zao hutaikuta labda sample..
Kinachofanyika unatoa oda inaagiziwa moja kwa moja kutoka factory...
Kinyume na hapo labda itokee mtu anunue mwenyewe then aje akuuzie..
Bei ni 550k-600k, au kajarb k.koo utapata ila mpya ni ngumu au ukipata basi ni bei kubwa sbb tofauti na simu ngingne unazoweza chukua kwa bei ya jumla ukapata discount, hizi hamna hio,
Kwa ufupi hawamuuzii mfanya biashara, wanamuuzia mteja.
Wewe tafuta ukiikosa ukiwa kweli unahitj serious niambie nikuunganishe na mhind flan hivi.
Uliinunulia wapi?
Hio haina haja ya kuzima data.
Sent from my SM-A9100 using Tapatalk
Mkuu hapa umeniacha tbt bima.Nilinunua kariakoo Kuna damu mmoja nitakuja namba yako.