Samsung S6 plain na Samsung A10s

Samsung S6 plain na Samsung A10s

Bianconeri

Senior Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
113
Reaction score
75
Wana JamiiForums nina option mbili za simu Samsung S6 plain na A10s naombeni mnismbie ni simu ipi bora kati ya hizo ili niweze kuinunua

Nawasilisha
 
Technolijia ya simu inabadilika kwa kasi sana. Simu ya miaka 5 nyuma hata iwe nzuri vipi imeachwa sana na simu ya mwaka huu au mwaka jana.

S6 mwisho nadhani ni android 7 wakati a10s ina android 9 sina hakika kama itaenda android 10.

Kwangu ni bora kununua tekno ya mwaka huu kuliko iphone ya mwaka 2017.
 
A10s itapokea android 10 mwezi May.
Technolijia ya simu inabadilika kwa kasi sana. Simu ya miaka 5 nyuma hata iwe nzuri vipi imeachwa sana na simu ya mwaka huu au mwaka jana.

S6 mwisho nadhani ni android 8 wakati a10s ina android 9 sina hakika kama itaends android 10.

Kwangu ni bora kununua tekno ya mwaka huu kuliko iphone ya mwaka 2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technolijia ya simu inabadilika kwa kasi sana. Simu ya miaka 5 nyuma hata iwe nzuri vipi imeachwa sana na simu ya mwaka huu au mwaka jana.

S6 mwisho nadhani ni android 7 wakati a10s ina android 9 sina hakika kama itaenda android 10.

Kwangu ni bora kununua tekno ya mwaka huu kuliko iphone ya mwaka 2017.

iPhone X na iPhone 8 ni za mwaka 2017 . Nitajie techno ya mwaka huu au mwaka Jana ambayo ni Kali kuliko hizo iphone .

Ukishindwa basi leta techno Kali kuliko iPhone 7 Plus ya mwaka 2016

Mimi nimezungumzia mobile phone technology generally. Simu ya mwaka 207 haiwezi kua sawa kiteknolojia na simu ya mwaka 2020 kwa sababu mobile phone technology change so fast.
 
Haya mambo hayana ujumla simu ya 207 inaweza Kuwa bora kuliko simu ya mwaka huu. Inategemea na model ya simu na tech na feature ilizopewa.

Kwa mfano hapo juu Kiujumla galaxy S6 ni bora kuliko A10S ingawa S6 ni ya zamani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio sahihi kabisa...kuna mawe ya miaka na yanakimbiza hizi simu za sasa

Unataka kusema Tecno k7 itakimbiza Samsung s5 ?kisa k7 ni ya miaka ya sasa?

Ungekua specific kwamba kuna baadh ya models na sio overall kama ulivyo sema ww

Mimi hata hiyo a10 siwez kuchukua nikaacha s6 kisa battery life sio nzur sana..s6 bado ni jiwe
Technolijia ya simu inabadilika kwa kasi sana. Simu ya miaka 5 nyuma hata iwe nzuri vipi imeachwa sana na simu ya mwaka huu au mwaka jana.

S6 mwisho nadhani ni android 7 wakati a10s ina android 9 sina hakika kama itaenda android 10.

Kwangu ni bora kununua tekno ya mwaka huu kuliko iphone ya mwaka 2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technolijia ya simu inabadilika kwa kasi sana. Simu ya miaka 5 nyuma hata iwe nzuri vipi imeachwa sana na simu ya mwaka huu au mwaka jana.

S6 mwisho nadhani ni android 7 wakati a10s ina android 9 sina hakika kama itaenda android 10.

Kwangu ni bora kununua tekno ya mwaka huu kuliko iphone ya mwaka 2017.

Hio s6 ya 2015 lakini ni bora kuliko tecno camon cm ya 2018

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kcamp, S2, S3, S4 zilipewa saana promo ila sijui kwanini S5 haikupewa sana promo enzi zake.

Hii ni moja ya flagship jiwe kabisa, na nahisi hata features nyingi za samsung zilianzia katika hii simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S2, S3, S4 zilipewa saana promo ila sijui kwanini S5 haikupewa sana promo enzi zake.

Hii ni moja ya flagship jiwe kabisa, na nahisi hata features nyingi za samsung zilianzia katika hii simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii simu ni mbaya hata kimuonekano ukilinganisha na hao wadogo zake.

Sijui inaweza kuwa haikufanya vyema sokoni,ikapigwa disco.lakini si ya kuishindanisha na simu nyingine za kampuni tofauti hasa tecno,bado itakuwa bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom