Hiyo hapo mkuumodel yake ni ipi? Nenda setting kisha about kuiona,
Sijawahi ona model kama hii, huko kwenye pc huwa unadownload ama kufanya task kubwa?Hiyo hapo mkuuView attachment 916646
Sijawahi ona model kama hii, huko kwenye pc huwa unadownload ama kufanya task kubwa?
Unaweza download app ya cpu z? Kisha ikiwa inapata hilo joto angalia tab ya thermal uone ni nyuzi ngapi.
Hapa ipo kwenye matumizi ya kawaida ingawa imeanza kupata joto piaSijawahi ona model kama hii, huko kwenye pc huwa unadownload ama kufanya task kubwa?
Unaweza download app ya cpu z? Kisha ikiwa inapata hilo joto angalia tab ya thermal uone ni nyuzi ngapi.
S6 edge ina update ya android 7 hiyo yako vipiHiyo hapo mkuuView attachment 916646
S6 edge ina update ya android 7 hiyo yako vipi
Simu sio mpya bali nizile zilizo fanyiwa malekebisho na hayo ndo matatizo yake kwa jina lingine refublish wazungu uwa ni wakweli wakati wa kuuza mali zao ila wabongo utasikia kitu mpya wakati ukifungua ndani kua hadi mabox nje tu ndo mng'aoMsaada wakuu. Hii simu bado mpya kabisa lakini nikiweka tathering na nikaconnect PC basi simu inapata moto vibaya sana.
Mwenye kujua tatizo anisaidie please
mkuu 50 ni kawaida, hilo joto sio kubwa sana, ni vyema ukaipima ikiwa inapata joto kali ili uone kama ni safe, ila 50, 60 ni kawaida kwa cpu.Hapa ipo kwenye matumizi ya kawaida ingawa imeanza kupata joto piaView attachment 916674
Iweke cm yako kwenye mfuko wa lailoni halafu iweke cm kwenye Jokofu kwa dakika 59. Halafu irudishe kwenye pc yako huku ukiwa umeiyunganisha na pcMsaada wakuu. Hii simu bado mpya kabisa lakini nikiweka tathering na nikaconnect PC basi simu inapata moto vibaya sana.
Mwenye kujua tatizo anisaidie please