samsung s4 i9500 Not register on network

samsung s4 i9500 Not register on network

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Wadau kama kichwa kinavyojieleza. Nina simu ya samsung s4 GT-I9500
tatizo lake ni hilo. Mnara unaoneka network imejaa lakini ukijari kupiga inatoa majibu kwamba
Not register on network. Naomba msaada wa kutatua tatizo hilo
not-registered-on-network.jpg

Imei yake inaanza na namba ngapi? Kama siyo 35 na badala yake ni 0049 tayari imepoteza imei number. Ila unaweza kuweka nyingine
 
Imei yake inaanza na namba ngapi? Kama siyo 35 na badala yake ni 0049 tayari imepoteza imei number. Ila unaweza kuweka nyingine
Hadi sasa inaonesha hiyo hiyo au hiyo ndo ya toka zamani hujaangalia kwa sasa?
 
Tcra ama kam mbishi ka mm badilisha imei, wakiifunga tena unabadilisha unaendelea kujimwaga
 
Wadau kama kichwa kinavyojieleza. Nina simu ya samsung s4 GT-I9500
tatizo lake ni hilo. Mnara unaoneka network imejaa lakini ukijari kupiga inatoa majibu kwamba
Not register on network. Naomba msaada wa kutatua tatizo hilo
View attachment 474650

Ukifanikiwa utujulishe, tupo wengi tulikumbana na tatizo kama hilo
 
hiyo sijui nini hata ya kwngu iko ivo mwenye utalaam na hilo atusaidie
 
yani enternet inafanya kazi na line pia inasoma majina yote ila kupiga ndio haitaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom