Wadau, Samsung s3 haiwaki. Battery ina charge, nikiweka kwenye simu nyingine inawasha vizuri. Lakini nikiirudisha kwangu haiwashi. Nimempa fundi anasema niipeleke Samsung wakanisaidie ku-boot. Kabla sijapeleka Samsung, kama kuna mdau anayeweza kunipa njia tofauti naomba anisaidie.