Umeitumia/imetumika kwa mudagani
Nmetoa namba hapo km muhitaj just wasiliana na mm
Ni ugeni wa biashara au?
Yaani kujua status ya hiyo simu unayouza tukupigie? weka full spec hapa kuna wengine hatujui hata note 3 ina internal memory Kiasi gani etc!
Huyu Yaser hayuko serious...unataka kila mtu humu ndani akupigie simu ili kujua imetumika mudagani? Utapokea simu ngapi? utapigiwa simu kama mtu anaitaka na sio kwa kuuliza maswali..Nmetoa namba hapo km muhitaj just wasiliana na mm