Kwahiyo some parts wanaagizakutoka kwa wengine! Nimejiuliza sana kuwa hawa si magwiji wa electronics, sasa hawana TECHNOLOGY ya kutengeneza display?Ni kweli unachosema lakini nnachoamini mimi ni ngumu sana kuweza kujitosheleza kwa asilimia 100 katika production line. Lakini simaanishi kwamba haiwezekani
Kwahiyo some parts wanaagizakutoka kwa wengine! Nimejiuliza sana kuwa hawa si magwiji wa electronics, sasa hawana TECHNOLOGY ya kutengeneza display?
Kwenye Technology hamna mtu anayejitegenea asilimia mia kwa resources na technology kuna kutegemeana hata samsung mwenyewe hizo display anazozitengeneza anategemea baadhi ya vitu kutoka Japan ndo maana ukifuatilia mgogoro wa South Korea na Japan Samsung alikua na hofu sana maana ungeathiri utengenezaji wa display zake.Huawei si kampuni kubwa in electronics science , inashindwa kutengeneza display
Kwahiyo some parts wanaagizakutoka kwa wengine! Nimejiuliza sana kuwa hawa si magwiji wa electronics, sasa hawana TECHNOLOGY ya kutengeneza display?
Kwahiyo some parts wanaagizakutoka kwa wengine! Nimejiuliza sana kuwa hawa si magwiji wa electronics, sasa hawana TECHNOLOGY ya kutengeneza display?
ASANTE SANA KWA ELIMU!Kwenye technology kuna kitu kinaitwa OEM . yaani hakuna kampuni inayotengeneza bidhaa za computer na vifaa vyake.
Angalia kwa mfano Dell:
Processor -intel...
ASANTE SANA KWA ELIMU!
Swali tena: Does that mean kuwa hawana technology ya kutengenza hivyo vitu? Wakiamua kuweka kiwanda cha display hawawezi kwa vile they do not have that technical know-how?
Nimekupata vema! sasa wakikataa kumpa display si Huawei inakufa. Basi ubabe ubabe unaanza kutengeneza kila kitu ingawa it might take years
😂 😂 😂 😂 mfano murua kabisaAu tuseme Muuza chips akisema alime viazi, alime alizeti akamue mafuta, awe na kiwanda cha kutengeneza majiko, achome mkaa na afuge kuku, awe na kiwanda cha vijiko na uma na vijiti, alime nyanya na vitunguu, alime matangoKwa ajiri ya salad , awe na kiwanda cha chumvi n.k
Hakuna kampuni inayojitosheleza kwa kila kituKwahiyo some parts wanaagizakutoka kwa wengine! Nimejiuliza sana kuwa hawa si magwiji wa electronics, sasa hawana TECHNOLOGY ya kutengeneza display?
Atatafuta suppliers wengineNimekupata vema! sasa wakikataa kumpa display si Huawei inakufa. Basi ubabe ubabe unaanza kutengeneza kila kitu ingawa it might take years
iPhone wenyewe kuna chip kama memory na baadhi ya chip wanatumia za Samsung, Sundisk Toshiba. Kama iPhone 11 ina chip memory za Sundisk na SamsungKwahiyo some parts wanaagizakutoka kwa wengine! Nimejiuliza sana kuwa hawa si magwiji wa electronics, sasa hawana TECHNOLOGY ya kutengeneza display?
Kweli kabisa ndivyo ilivyoKwenye technology kuna kitu kinaitwa OEM . yaani hakuna kampuni inayotengeneza bidhaa za computer na vifaa vyake.
Angalia kwa mfano Dell:
Processor -intel
Hdd -seagate
Ram- Hynix
Display - Phillips
Hata vifaa vya electronics,
Unakuta TV ya LG, ndani kuna chip ya samsung , toshiba etc.
Mkuu kwa mifano uliyo toa kama hakuna alie elewa usijichoshe mkuu.Unatengeneza kila kitu kivipi? Nimetoa mfano wa software Leo fb waondoe social media zao (Whatsap, insta na fb) kwenye simu za huawei au zisiruhusiwe unadhani huawei ataweza kutengeneza social media zake ? Unafikiri kuna mtu atanunua huawei? Kuna vitu vingine lazima utegemee watu, kutengeneza display inaweza isiwe issue lakini je itakulipa? Investment inaweza kuwa kubwa huku unauza simu chache ukala hasara. Ni Kama lile suala la kuchenjua mchanga wa dhahabu Kama una kiasi kidogo huwezi kuweka smelta ni bora upeleke Kwa mtu mmoja afanye hiyo kazi . Ni suala la cost and benefits
Au tuseme Muuza chips akisema alime viazi, alime alizeti akamue mafuta, awe na kiwanda cha kutengeneza majiko, achome mkaa na afuge kuku, awe na kiwanda cha vijiko na uma na vijiti, alime nyanya na vitunguu, alime matangoKwa ajiri ya salad , awe na kiwanda cha chumvi n.k
Unafikiri atafanya biashara au atakuwa anapoteza muda ??
Nimekupata vema,iPhone wenyewe kuna chip kama memory na baadhi ya chip wanatumia za Samsung, Sundisk Toshiba. Kama iPhone 11 ina chip memory za Sundisk na Samsung
Mkuu kwa mifano uliyo toa kama hakuna alie elewa usijichoshe mkuu.