Samsung LED smart tv yangu imepasuka kioo

Samsung LED smart tv yangu imepasuka kioo

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,739
Waungwana nisaidieni wapi naweza pata huduma ya warranty kwa tv yangu aina ya samsung LED tv smart nimeinunua Iraq mwezi jana ikawa kwenye box mpaka nafika hapa ile kufungua nakuta kio kimepasuka japo inafanya kazi. Wapi naweza pata huduma ya warranty? Kw hapa dar? Na je chaweza tengenezwa naaminisha kuwa replaced? Asanteni
 
Wewe umeinunua tv iraq unategemea nini tena umeinunua ramad!!
 
una bahati kweli hiyo ilikuwa imefungwa bomu la kujitoa muhanga sasa limelipuka vibaya ndomaana haikuleta madhara ila kiyoo ndo kikavunjika
 
Mwe!! Bavicha hata huku mko?
 
Wakuu kuweni na heshima, mtu kaleta issue technical, ninyi mnaingiza siasa mara sijui bavicha. Haya masuala ya siasa pelekeaneni huko kunakohusika. Hili ni jukwaa la tech, issue zinazoongelewa hapa ni tech wise. Hili jukwaa lina heshima yake ya kipekee, nayo si nyingine bali kutoa misaada. Msituharibie jukwaa humu.
 
mkuu gharama zake hapo bora ununue mpya ina inch ngapi mii niko europ tuma hela nikutumie lcd dar ni pm
tuma searial number angalia nyuma utaona model
 
mimi ya kwangu ni inch 42 mtoto wangu kaipiga kwenye kioo imevunjika ila ilikua na garantii ya 2yrs wamekuja kunitilia lcd nyengine ila ni hapa eorop mambo hayo bongo sifikiriii

Umesahau kusema wakati anavunja kioo hiko cha 42''Mkeo/Mumeo alikuwa na ana chart kwenye Laptop yake ya Apple huku muda huo ukiwa Downing Street ukiwa na HUmmer lako unaendesha ukitoka kukamilisha Taratibu za kununua Nyumba London.,
 
Cheki freedomtz.com wanasema wao ni authorized dealers.
 
Sidhani kama unaweza kupata msaada hapa bongo,kwani uliponunua huko hawakukupa warranty? na kama walikupa inafanyakazi duniani kote?
 
Wakuu kuweni na heshima, mtu kaleta issue technical, ninyi mnaingiza siasa mara sijui bavicha. Haya masuala ya siasa pelekeaneni huko kunakohusika. Hili ni jukwaa la tech, issue zinazoongelewa hapa ni tech wise. Hili jukwaa lina heshima yake ya kipekee, nayo si nyingine bali kutoa misaada. Msituharibie jukwaa humu.

bavicha kasema yeye mwenyewe mtoa mada
 
Wakuu kuweni na heshima, mtu kaleta issue technical, ninyi mnaingiza siasa mara sijui bavicha. Haya masuala ya siasa pelekeaneni huko kunakohusika. Hili ni jukwaa la tech, issue zinazoongelewa hapa ni tech wise. Hili jukwaa lina heshima yake ya kipekee, nayo si nyingine bali kutoa misaada. Msituharibie jukwaa humu.

Hata mhitaji msaada hayuko Serious sasa Bavicha inahusikaje hapa. Mnapoteza muda wenu tu. Hapa anatutaarifu kuwa kanunua smart tv baasi..... Tunashukuru kwa taarifa ndio maendeleo hayo hongera zake.
 
Ubaya wa hizo nchi zenye mapigano, iraq syria na afghanistan au hata pskistan, hivyo vitu vinauzwa kwa magumashi sana coz huwa wauzaji wanavitwaa baada ya kuvamia madukani kutokana na milipuko ya mabomu au ghasia. Sidhani kama una warranty, otherwise inategemea mazingira ya kupasuka kwake na terms zake.
 
Jamani, hata kama ina warrant je angeweza kuisafirisha kutoka Bongo mpaka Tikrit? Amekosea kuuliza habari za warrant kwani naamini ingawa kampuni ni moja hawawezi kukuwekea kioo hapa wakati ulinunu hiyo LED huko Iraq.
 
umesahau kusema wakati anavunja kioo hiko cha 42''mkeo/mumeo alikuwa na ana chart kwenye laptop yake ya apple huku muda huo ukiwa downing street ukiwa na hummer lako unaendesha ukitoka kukamilisha taratibu za kununua nyumba london.,
na umesahau au alisahau kukwambia dada ako ndio tulikuwa pamoja siku hiyo
 
wakuu nashukuru sana kwa response zenu,,, nilikwenda kwa hao freedom electronics,, kwanza wameniambia warranty ya iraq huku haifanyi kazi,,, na wakasema screen tu kuniagizia itanicost kama laki 7 bila kuweka matengenezo kwa kweli nimechoka,,, kifupi tv yangu ina warrant na nimeinunua dukani kwa authorised dealer pale Najaf na sio tikrit kama baadhi yenu walicomment,,, nilichoamua ni kujaribu kuwasiliana na jamaa zangu kule ili wafuatilie warrant au hata hao dealer waniangizie maana kule bei nzuri sana na hapa ni massive.... kama kuna ushauri zaidi karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom