Phone4Sale Samsung J7 PRO: 280k only

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,117
Habari zenu wapendwa,

Leo nawaletea offer nzuri kabisa.

Nauza Samsung Galaxy J7 PRO kwa bei sawa na bure kabisa.. inahitajika 280,000/= tu.

Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine hivyo hii haina kazi kwa sasa.

Napatikana Dar es salaam.

Njoo Pm kwa mawasiliano au weka namba yako kwenye comment nikutafute.

Karibuni sana.


20210602_132440.jpg
 
Watanzania wengine huwa hamtumii akili... Simu iliyotengenezwa kiwandani mwaka 2015 unauza 280K!??...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom