Samsung j4

Samsung j4

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
1,007
Reaction score
1,113
Habari wakuu, naomba msaada wa setting ya simu tajwa Samsung j4 upande wa gallery, nikipiga picha au video baada ya muda fulani sizipati zimefutika, hata kwenye file manager hazionekani, naombeni msaada.

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejaribu kutumia 3rd party gallery pia huzioni?

Jaribu kudownload quickpic gallery store
 
Back
Top Bottom