Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Nipo tabata ukitaka kweli tunaonana na unaiona simu yenyewe, sio ya wizi bwana simu ni mpya tu ya demu mmoja jirani yangu kuhusu lisiti sijamuuliza ila inaweza ikawepo ila sina uhakika.
Mm me na mwenye simu ni ke
Uliza swali lengine
Nimekusoma mkuu.
Simu nzuri, bei nzuri.
Sema usawa huu wa Magu ndo unasumbua, anyway ngoja tuone mpaka kesho.