teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Heshima kwenu wana jf, jamani mie ni mwanakjiji nisiejua kitu orignal au feki, lkn nahitaji cm nzuri yenye os ya android, sijui duka gani mwanza au dar nitapata cm hiyo nisingependa nilanguliwe kwa kununua feki kwani hela yenyewe nimetafuta mwaka mzima. Naomba ushauri na picha ya cm yenyewe.