KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,293
Mkuu I wish unifundishe mambo ya kuagiza vitu online.Agiza kutoka china uokoe mkwanja. Itachukua 2 weeks kufika TZ. Cheki hapa Xiaomi Best Deals + Online Shopping | GearBest.com au NIS-Store .Shindwa mwenyewe.
Mkuu samsung j7 prime unaionaje ubora wake?ni cheap mediatek phone, sidhani kama itakidhi mahitaji yote
bcc Mkuu Chief-Mkwawa.Mimi ninayo hii simu na nazijua..kuijua ya Snapdragon nenda settings then about phone finally angalia kipengele cha CPU,kama ni Snapdragon imeandikwa "Hexacore" ila kama ni Mediatek utakuta octacore.
Mkuu how to know bands za mtandao ya simu.. bands za phone najua napata kwa gsmarenatigo na smile haitakubali, smart, voda na TTCL itakubali
Habari kaka, naomba unisaidie ubora wa s6 edge na thamani yake.tigo na smile haitakubali, smart, voda na TTCL itakubali
simu nzuri mkuu kwa bei around 500,000 ikizidi kidogo ikipungua sio mbaya. ila ina display nzuri sana inayokula chaji, kama ukaaji wa battery ni muhimu zaidi kwako tafuta j7 2016 kama unapenda overall simu nzuri j7 prime ni nzuri zaidiMkuu samsung j7 prime unaionaje ubora wake?
inafanya almost kila kitu unachotaka kufanya kwenye simu ila ni simu ya mauzo kama hujui kutunza kaa mbali nayo. bei around 600,000 hadi 800,000 hiviHabari kaka, naomba unisaidie ubora wa s6 edge na thamani yake.
unazigoogle tu, pia wakitangaza network mpya mfano 4g huwa wanataja band zao, kwenye 3g wote walikuwa band 2100 kasoro smart ila 4g ndio kila mtu na band yakeMkuu how to know bands za mtandao ya simu.. bands za phone najua napata kwa gsmarena
Asante sana kaka, sikuyajua haya mwanzoniinafanya almost kila kitu unachotaka kufanya kwenye simu ila ni simu ya mauzo kama hujui kutunza kaa mbali nayo. bei around 600,000 hadi 800,000 hivi
ni sahihi mkuubcc Mkuu Chief-Mkwawa.
Mkuu hizi simu kwa hapa dar zinapatikana kweli??
specification hizi hapa
Xiaomi Redmi Note 3 - Full phone specifications
specs zinazoifanya iwe ni simu ya kipekee ni
-battery kubwa 4050mah
-ina core mbili za cortex a72
zinapatikana kwa kuagizishia Kenya,Mkuu hizi simu kwa hapa dar zinapatikana kweli??
shukrani mkuu.zinapatikana kwa kuagizishia Kenya,
Mkuu ukikosa njoo uchukue mi ninayo..unaikagua na utapata na kla ktu had box.Mkuu hizi simu kwa hapa dar zinapatikana kweli??
Hii one plus 3t bei yake iko vipi?kweli kabisa mkuu, Nunua uje utupe review ya 3T ila still utaambiwa sio kama phantom 6 plus
dola 400 mpaka 480 tegemea na configurationHii one plus 3t bei yake iko vipi?
Unaiuza kwa bei gan mkuu ??Mkuu ukikosa njoo uchukue mi ninayo..unaikagua na utapata na kla ktu had box.
Zipo hata jumia Tanzania, pia nmeziona mobile plaza gorofa ya 4 kama sikoseizinapatikana kwa kuagizishia Kenya,
Hiyo Samsung grand prime plus ya mwaka huu inafaa na ni ya wastani inaweza kuhandle kila kitu vizuri
nimezicheki hapa jumia hizo bei ni meh!Zipo hata jumia Tanzania, pia nmeziona mobile plaza gorofa ya 4 kama sikosei