Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,147
- 2,513
Not available
Mkuu Vodafone ni UK.ahahaha unazingua aseh... Korea kuna vodafone
then RAM ni GB 1.97 sawa tu na 2
ahahaha unazingua aseh... Korea kuna vodafone
then RAM ni GB 1.97 sawa tu na 2
ahahaha unazingua aseh... Korea kuna vodafone
then RAM ni 817 MB
Internal storage ni GB 1.97
USB STORAGE 12 GB
1. kama imetoka korea why sasa ina lock ya voda? korea kuna voda?
2.s2 yenye ram 2gb ndio ipi hio?
Korea hamna vodafone, ila simu za Samsung nyingi zinatoka korea.Hata korea ipo
Kama.ilivyo airtel India
vodafone Tz.. Uk.. South afrika n.k
kwa mawaz yang uko sahih,Korea hamna vodafone, ila simu za Samsung nyingi zinatoka korea.
Ni sawa na kununua Huwei ya Tigo, halafu badae useme Simu za Huwei zinatengenezwa Tanzania.
Vile wanavyofanya Tigo Tanzania hata vodafone wanafanya hivyo hivyo.
Kama siko sahihi wajuvi mtanisahihisha.
Bila shaka unatumia tecno ww chief teh
hao wadau unaobishana nao ndio PHONEAHOLICS humu... ni kama computer na napster... nakuhakikishia wakishaanza kutia doubt hao wadau chief-mkwawa .. idawa labda mgeni humu jukwaani ndio atakuPM kutaka kufanya biashara.. next time usiwe conservative saaana kuwa open minded na kubali kurekebishwa "kukosea ipo m'baba"