Samsung Galaxy S9 special thread

Samsung Galaxy S9 special thread

Aperture unaiweza kuibadilisha ni jicho la binadamu ambapo iris yake hutanuka wakati wa giza na husinyaa kwenye mwanga mkali ili kuregulate kiasi cha mwanga
 
Samsung Ni High End Nlinunuliwa Na Kakangu Humu Baraka8 china Mwaka 2014 juzi dogo kaidumbukiza kwa poti la mikojo,haijasumbua wala kufunguliwa ilintoka milion ila kihalali,nkipata pesa nitanunua ila sasa nokia torch inanihusu
 
Samsung simu poa sana.... njoo nikuuzie S8 mkuu bei ya jioni
 
Back
Top Bottom