AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,903
- 5,677
Endelea kujifariji mkuu! Maana hakuna namana.Nina tecno h6 toka 2015 ubora uleule na sijaipeleka kwa fundi toka ninunue,nimebadilisha betri tu.
Endelea kujifariji mkuu! Maana hakuna namana.Nina tecno h6 toka 2015 ubora uleule na sijaipeleka kwa fundi toka ninunue,nimebadilisha betri tu.
uko vizuri mfukoni aiseeNdio mkuu.... huwa naenda na wakati!! Kila flagship model ya Samsung huwa nanunua S series zote nimetumia na sasa ninayo S8 na nasubiria S9
Kabisa!! Hebu fikiria hata simu ya kawaida tu wanatumia Amoled display wakati Apple ndo kwanza kaiweka kwa IPhone X na bado ni simu ghali sana!! Samsung ndo baba wa design Kali za simu aseeIla wakuu bila kupepesa macho samsung simu zao zote ni nzur kuanzia low end wamezifix zimekaa poa mnooo kwa weny kipato cha chini mid end ndo usiseme daah hawa jamaa mm kwangu hawan mpinzani labda sony experia kwa upande wa android phones
Boss vyuma vinakaza hadi kwako mzee wa manyau nyau@lusungo asante sana kwa taarifa ila ungejua hali zetu.. Usingetutamanisha kaka

Kabisa kaka na ninakuambia huyu jamaa atakimbiza sana huy iphone mpaka wakubali na usisahau kuwa display technology ya iphone wanatengeza kutoka samsung hali kadhalik soc zao za apple a6 a7 a8 na kuendeleaKabisa!! Hebu fikiria hata simu ya kawaida tu wanatumia Amoled display wakati Apple ndo kwanza kaiweka kwa IPhone X na bado ni simu ghali sana!! Samsung ndo baba wa design Kali za simu asee
Mkuu kuna fununu kuwa S9 inakuja na advancements za hali ya juu sana kwenye camera ngoja tusubiri tujioneeNaisubiri nokia 9 inakuja na camera itakayotumia penta lenses 5 rotating hawa akina Samsung lazima watakaa chini mwaka huu hasa kwenye imaging
Najua kimauzo samsung anaongoza ila kwenye ubora wa camera the father is NOKIA
Ha ha ha ha ha ha ha hahaaaah!yaani umebadili battery bado unasema ipo kwenye ubora ule ule!?Nina tecno h6 toka 2015 ubora uleule na sijaipeleka kwa fundi toka ninunue,nimebadilisha betri tu.
Tatizo ni pesa mkuu...yani ningekuwa vizuri sasa hivi note 8 inekuwa mfukoni...Hahahah mkuu karibu kwenye matoleo mapyaa