Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,228
- 44,232
Mkuu hii hoja yako haija nishawishi kabisa
Unapoenda kufanya tangazo unafanya tangazo specifically unatangaza nini,
Huwezi kutangaza in general tangazo moja ukatangaza bidhaa zako zote unayozalisha
Matangazo yanayozungumziwa hapa ni ya simu zao na haswa flagship zao
Naomba tulinganishe sales ya iphone 6 na 6+ vs galaxy s5 na note 3.
Hizo ndo flagships zinazotambulika
Kuweka sales nzima unakuwa hauleti ulinganifu sahihi, kwasababu mwaka jana peke yake samsung ameleta simu kibao sokoni.
umewahitumia zina usumbufu balaAHapana chezea apple veve team apple milele
Iphone sa hv hadi machekbob wa mtaani wanatumiaSamsung ni simu za kiswahili swahili au ziko multi purpose .. tofauti na loyal phones (iphone) ambazo nahisi hata tanzania hawaitambui kama kuna market yao .. ( dont comment guys its a joke)
Hii simu ipo next level haifanani na simu yoyote duniani. na cha kuumiza roho zaidi ni kwamba vitu vyote vinavyoifanya hii simu kuwa special vinatoka ndani ya samsung si vitu vya nje ambavyo kila oem anaweza kuwa navyo.
-Processor ya exynos inayokuja na s6 imedestroy processor zote za simu including snapdragon 810. officially ndio simu yenye speed zaidi duniani na toka note 4 samsung wamehitahidi kuifanya touchwiz nyepes.
-Very fast memory hivyo itafanya matumizi ya simu na multitasking kuwa smooth
Lol and for the first time nimeona simu ikigonga 30 fps. Habari nzuri kwa gamers wa android atleast na nyie mfunguke macho kidogo.
Frame per second, idadi ya frame ambazo simu inauwezo wa ku render wakati wa kucheza game. Ni post ya zamani simu za kisasa za 2019 zinaenda hadi 120Fps.Hio 30 Fps ni nini mkuu na inafanyaje kazi?
Frame per second, idadi ya frame ambazo simu inauwezo wa ku render wakati wa kucheza game. Ni post ya zamani simu za kisasa za 2019 zinaenda hadi 120Fps.
Jinsi simu inavyo render frame nyingi ndio jinsi game linavyokuwa smooth.
Kuelewa vizuri unatakiwa ufahamu video inavyofanya kazi, ukiwa unaangalia movie ama video yoyote ile pale kunakuwa na picha 24 zinatembea haraka haraka kila sekunde, hizo picha ndio zinaitwa frame, hivyo mtu akisema 30fps inamaana ni picha 30 zinapita upes upesi kwenye kioo chako na kwa macho yetu sababu hayaoni hizo picha upesi upesi sisi ndio tunaona kama video
Huwezi kuangalia na frames zina vary baina ya game na game. Inabidi ujue game gani unataka uangalie then ukasake video youtubeKwa mfano ukitaka kuangalia hiyo kitu katika gsmarena inakua ipo kwa sehemu gani katika zile specifications