c9 inauzwa shilingi ngapi? hizi excuse nyengine hazina maana. simu zote hizo bei zake zinafanana kama una hela ya kununua c9 huhitaji kukombolewa.Watanzania kukandia waChina wakati wanatukomboa kwa wingi wooote twaingia jamiiforum na hiyo michina. Kama wewe unapesa nyingi furahi Mungu kakujalia sisi tusio na kitu ni michina kwa mbele. Mchina muokozi wetu wetu
hakuzungumziwi samsung fake, na sio lazima kununua simu ujue kama ni nzuri ukielewa technology tu unajua. mfano kioo cha TFT hata kirembwe vipi hakitakuwa kizuri kama super amoled, DDR3 ram single chanell hata uiboost vipi haiwezi pita ddr4 dual chanell, cortex a53 hata uiclock hadi 4ghz haiwezi fikia kyro au mongoose etcReal hujaiona C 9 if u want to know siri ya C9 nunua uione not only that hizi Sumsang nk mengi ni fake yamefungiwa kibao labda sijaiona fake IPhone
Kama kitu hujui usichangie mkuuCzan kama galax s5 ina njonjo izo!! MP 16 na finger print lock czan kama inayo
Laki tano mkuuS5 n bei gan wakuu inanivutia kuitafuta
c9 inauzwa shilingi ngapi? hizi excuse nyengine hazina maana. simu zote hizo bei zake zinafanana kama una hela ya kununua c9 huhitaji kukombolewa.
Samsung v Tecno, upumbavu gani huu ngozi nyeusi tulionao?Eti unauliza Samsung vs Tenco?
Haya ni matusi sasa.
Tecno wenzie Itel & co.
Samsung habari nyingine.
Umeshamaliza mjadala mkuu.Kama kitu hujui usichangie mkuu
Galaxy s5
*ina finger print lock/scanner
*heart beat/rate sensor
*motion sensor . Inahesabu hadi hatua
*air gesture.. waweza fanya baadhi ya option bila kugusa kioo
*inauwezo wa kijikinga na maji kwa muda usiopungua dkk 15
*ina touch sensitivity.. waweza tumia hata sindano kuscroll screen options badala ya kidole
*ina wireless charging system
*ina 3.0 usb function ..
*ina utra power saving mode
*ina split screen mode.. waweza tumia vitu viwili kwenye kioo kimoja at the same time
*ina floating menu uption
*camera clear na yenye option kibao kama auto focus. Hdr..dual cam..
....
Stable touchwiz..
Na mengineyo kibao...
NATUMIA S6 LAKINI TRUST ME.. SIJAPATA EXPERIENCE NZURI KUIZIDI S5 LABDA KWENYE CAMERA YA MBELE NA RAM (speed).. otherwise
ANAYETAFUTA SIMU NAMSHAURI.. HE BETTER OPT FOR S5 rather than any kind of tecno...uwe makini upate s5 yenye 4G..
Umenifurahisha sana wasichana wengi hawaelewi simu ila wewe upo vizuri aisee.Tecno huwezi kuifananisha na samsung hata kidogo.NI SAWA NA KUSEMA UHARO NA FUTALI NI KITU KIMOJA KISA VYOTE NI UROJO.AU KUANDAA SHINDANO LA MBIO KATI YA KIWETE NA USAIN BOLT.Eti unauliza Samsung vs Tenco?
Haya ni matusi sasa.
Tecno wenzie Itel & co.
Samsung habari nyingine.
mimi ndio simu ninayoitumia, japo ina 1080p display ila inakaa sana na charge kwa flagship.Ukichukua s5 ununue na power bank chaji kimeo
Mkuu mimi ni mkereketwa wa Samsung,hii ndio brand yangu kipenzi katika simu.Umenifurahisha sana wasichana wengi hawaelewi simu ila wewe upo vizuri aisee.Tecno huwezi kuifananisha na samsung hata kidogo.NI SAWA NA KUSEMA UHARO NA FUTALI NI KITU KIMOJA KISA VYOTE NI UROJO.AU KUANDAA SHINDANO LA MBIO KATI YA KIWETE NA USAIN BOLT.
si kweli mkuu zipo samsung kibao zinakaa sana na charge ni wewe tu, ipo j7 ya 2016, galaxy s6 active, galaxy A9 ya 2016, galaxy C7 etcSumsung ni nzuri tatizo battery chaji haikai, kama ni mtu wa ofisini tu fresh. Ukiwa mzee wa field either uwe mzee wa kubeba power bank.
Uko sahihi mkuu.Ukichukua s5 ununue na power bank chaji kimeo
Weka mAh za battery zake.si kweli mkuu zipo samsung kibao zinakaa sana na charge ni wewe tu, ipo j7 ya 2016, galaxy s6 active, galaxy A9 ya 2016, galaxy C7 etc
mah si kigezo cha ukaaji chaji pekee, simu kama xperia z3 compact inapita almost michina yote yenye 5000mah japo yenyewe ina 2600mah tu.Weka mAh za battery zake.