Samsung Galaxy S5 (SV) Hii hapa.

Samsung Galaxy S5 (SV) Hii hapa.

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,789
Reaction score
1,732
Samsung wanajiandaa kutoa simu mpya itakayoitwa Galaxy S5.

Hivi ndivyo wanavyokuja:
samsung_galaxy_s5_concept_specs_520x300x24_fill.jpg

Processor yenye nguvu, na Ram ya kutosha.

Camera mp 16, yenye technology ya ku stabilize image.

Body lake la aluminium, na ni waterproof na shockproof. Speaker zake nazo zimekuja kivyake na technology ya S Surround.

Screen ina sensor ya touches na kila ukigusa inatoa mwanga wa aina yake.

Screen ya 5.3 inches.

Zaidi angalia picha hizi

samsung_galaxy_s5_concept_2_520x300x24_fill.jpg

samsung_galaxy_s5_concept_1_634x306x24_expand.jpg

Tayari ipo sokoni.

Samsung-Galaxy-S5.jpg
 
ni ushindani wakibiashara, Sony Xperia, Iphone, Samsung, HTC, Nokia Lumia
 
Nafikiri jamaa alichokosea ni kule kusema tayari ipo sokoni, ila kama tulivyo wengi humu ndani kitu kikionekana online ni kweli hata kama siyo. Pitia hiyo address www.galaxyS5.com. Sidhani kama kuna yeyote humu anaweza kusema kwa hakika galaxy ijayo itakuwaje, nimetembelea website kadhaa kila mtu ana lake na wengine wameandika galaxy ijayo haitakuwa S series wanaelekea kwenye F series.
 
kaka ukitoa picha ya mwisho hizo picha za juu zinaonekana kama ile concept ya nokia apple aliyoiba wazi wazi na kuipatent.

na kama ni patent ya apple samsung hawez thubutu toa simu ya hivyo maana italeta tu mtafaruku tena.

angalia picha hii
113732.jpg

patent yenyewe hii
article-2300639-18FB03A9000005DC-298_634x370.jpg

source
Apple¿s latest phone has wrap-around display and all-glass structure | Mail Online
 
sio kila news za net ni kuzileta hapa zengine ni concept tu kama ilivyokuwa kuna concept nyingi za ihone 5 na nyingine ni kuboost site zao zipande viewers wengi,hii habari haina ukweli wowote.
 
kaka ukitoa picha ya mwisho hizo picha za juu zinaonekana kama ile concept ya nokia apple aliyoiba wazi wazi na kuipatent.

na kama ni patent ya apple samsung hawez thubutu toa simu ya hivyo maana italeta tu mtafaruku tena.

angalia picha hii

Nini kilichopelekea Nokia wazembee mpaka concept yao ikawa patented na Apple? Au walikuwa busy wanawauzia kampuni Microsoft?

Huwezi ku-patent concept chief-mkwawa bali unacho-patent kinatakiwa kiwe ugunduzi na sio nadharia. Ikiwa unayosema ni sahihi kwamba Nokia waligundua halafu wakalala huo ni uzembe wao.

Pia inawezekana Nokia walipkuja na concept hiyo hawakuwa na ujanja wa kuifanya reality, hivyo wajanja wakawawahi.
 
Last edited by a moderator:

siwezi isemea nokia kwanini hawajapatent ile ni kampuni kubwa wanajua wanachofanya, na patent za nokia hazijauzwa microsoft bali nokia amezilicence tu kwa bilion 2 usd kama vile apple alivomlipa nokia usd milion 600 na kutoa dola 6 hadi 8 kwa kila iphone sababu ya kulicence patent.

huyo apple mwenyewe toka alivyopatent ni miaka sasa hatujaona reality yoyote bora ya nokia ambae hajapatent kitu ambacho haoni kama ataweza kifanya
 
Nokia iko njiani kumilikiwa na Microsoft, biashara ya simu umeshawashinda zamani. hata investors walishajua kuwa Nokia kwenye simu is a brand of the past maana mara baada ya kutangazwa kuuza BBC wameripoti share za Microsoft zimeshuka bei (maana wamenunua kanjanja) na share za Nokia zimapanda bei maana wameuza bomu. Ninanukuua "Nokia will also license its patents and mapping services to Microsoft. Nokia shares jumped 35% on the news, whereas Microsoft's fell more than 5%" (http://www.bbc.co.uk/news/business-23940171)

we jamaa kwa kuchange maneno I salute you? mimi ndo nilisema hapo juu kuwa patent hazijauzwa bali wamezilence sasa hv ishakua ni wewe.

anyway nokia wapo toka miaka ya 1800 wana zaidi ya karne kwenye biashara wanachange kutokana na upepo unavyoenda kama nokia alivyoleta mapinduzi ya simu na sasa nokia ataleta mapinduzi mengine just wait and see
 
Naomba tu kuuliza. Nilimsikia CEO wa Samsung akisema S5 itakua na 64-bits kama ya wakali Apple. Hivi Ram ya 3GB inaweza run mzigo wa 64-bits?
 
iphone 5s ina ram 1gb na processor ya 64bit

ni mambo ya marketing tu wala haihitajiki processor ya namna hii kwenye simu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom