samsung galaxy s4

samsung galaxy s4

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,506
Reaction score
376
Wadau naomba mnisaidie nimesahau password ya simu tajwa hapo nifanyeje?
 
Factory reset, ila kama hujawahi kufanya backup utapoteza kila kitu
 
Nashukuru kwa msaada wako ila sina utaalam na haya mambo naomba maelezo zaidi mkuu hasa njia na kama kuna tahadhari,nashukuru
 
Back
Top Bottom