Samsung Galaxy S4 Kuzinduliwa Machi

Samsung Galaxy S4 Kuzinduliwa Machi

ManiTek TV

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
410
Reaction score
159
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Samsung imeanza kutoa mwaliko kwa wanateknolojia na waandishi wa habari kwa ajili ya uzinduzi wa simu yao kuu yaani Samsung Galaxy S toleo la 4. Si kawaida kwa Samsung kutoa mwaliko katika tukio hili kinyume na Apple ambao wao sio tu huwa kwa mwaliko bali tiketi unatakiwa kuilipia na nyingine huishia kulanguliwa kwenye ebay hadi kwa dola 2000.


Tukio hilo la uzinduzi litafanyika katika ukumbi wa Radio City Music ulioko New York kinyume na Galaxy S3 ambayo ilizuinduliwa London. Siku ya tukio ni tarehe 14/03/2013. Samsung itakuwa ni kampuni ya pili kwa upande wa wazalishaji wa simu za Android kuzindua simu kuu (flagship device) kwa mwaka huu, siku chache zilizopita HTC walizindua HTC One. Tukio hilo litakuwa moja kwa moja kwenye Youtube ambapo mamilioni ya watu wanatarajiwa kulitazama.

Ukamilifu wa makala na chanzo:
http://www.gajetek.com/2013/02/samsung-galaxy-s4-kuzinduliwa-machi.html
 
http://www.gajetek.com/2013/02/samsung-galaxy-s4-kuzinduliwa-machi.html
I question credibility of the source for this announcement. If this was true, it would have made headlines on the likes of WSJ, Bloomberg, CNN, FOX, C-NET, etc
Chief Mkwawa where are you?
 
http://www.gajetek.com/2013/02/samsung-galaxy-s4-kuzinduliwa-machi.html
I question credibility of the source for this announcement. If this was true, it would have made headlines on the likes of WSJ, Bloomberg, CNN, FOX, C-NET, etc
Chief Mkwawa where are you?

website yake
 
Kwa sasa ndo wanaongoza kwa mauzo ya cm wameizidi mpka nokia wako juu
 
I wonder if "Boy Genius" has had a peek and a pre-release review already.
 
Damn it...wanted to buy Samsung Galaxy S3...sasa and that mtambo is about to be out..ka'galaxy changu s3 si kataonekana kama hakana issue tena jaman
 
Kwa sasa ndo wanaongoza kwa mauzo ya cm wameizidi mpka nokia wako juu
sio wamezidi mpaka nokia, nokia bado yupo chini anakazana,,hapo ni wameizidi mpaka Apple! ikifuatiwa na kampuni ya huawei
 
Last edited by a moderator:
Mtaamini tu, taratibu. Ila kwa sources zaidi chungulieni hapa:

1. Kuhusu C-Net hii hapa taarifa: Samsung confirms Galaxy S4 to launch March 14 | Mobile World Congress - CNET Reviews yaani taarifa hizi zimetoka kwenye Gajetek saa nzima kabla ya C Net unayoiamini zaidi.

2. CNN hii hapa: Samsung Galaxy S IV coming March 14 - CNN.com

Sina zaidi SHERRIF ARPAIO, siku nyingine kabla hujahoji itakuwa vyema kama uta-google.

mkuu mi nafahamu ila nilimjibu tu swali lake maana alimention id yangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom