Samsung galaxy S3 used wanted urgently

Samsung galaxy S3 used wanted urgently

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Nahitaji simu tajwa hapo juu haraka. Hela niliyo nayo ni laki 3 tu. Mwenye note 2 pia anicheki kama vipi.
 
nunua Huawei p6 ndo nzuri. ni laki sita tu.
 
Nahitaji simu tajwa hapo juu haraka. Hela niliyo nayo ni laki 3 tu. Mwenye note 2 pia anicheki kama vipi.

kama kuna watu unawajua wanaenda china wanaweza kukuletea hiyo simu ikiwa mpya kwa laki 2.5
 
Back
Top Bottom