Poxino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 727
- 53
Mmmh sio clone hiyo simu yako?Samsung S3 mpya kwa hiyo bei
Model number GT 193000
Ina wiki mpya full navitu vyake kwenyebox
Ninyeusi haina sklachi yoyote
Internet speed yakutosha wi-fi 3G
Adroid version 4.1.9
16 gb
Kamela kama kawa mbele na nyuma
Ni ya nchi ya korea bei 450,000 nipo dar es salaam simu 0755984282
Wakuu msije mkaingia King kwenye hii simu ni clone ,android genuine ya jelly bean haifiki 4.1.9 mwisho 4.1.2
Angalia jamaa anavyolalamika alikuwa na mchina kama huu.
Need android 4.1.9 rom!!plz - xda-developers
@Chief-mkwawa njoo usaidie watu wanaibiwa huku.