Samsung Galaxy S23 Ultra kuja na kioo flat tofauti na S22 Ultra

Naomba mwenye uelewa hapa anifafanulie Nini maana ya flagship, midrange na official brand me haya nayasikia tu Kwan Nini hasa kwenye bidhaa za simu?
Je Zina utofaut gan?
- Flagship ni zile simu ambazo kampuni ya simu inakuwa imewekeza teknolojia yake yote kwa asilimia kubwa na kuwa miongoni mwa simu bora zaidi kwenye mwaka husika. Lakini sio kila kampuni ya simu hutengeneza flagship, HMD Global hawatengenezi flagship kwa simu zao za Nokia. Karibia kila kitu kwenye flaghip ni highend. Kwa mfano Samsung Galaxy S22 Ultra, iPhone 14 Pro Max, Google Pixel 7 Pro, Xiaomi 12S Ultra, Xiaomi 13 Pro na Vivo X90 Pro Plus ni baadhi ya flagship za 2022. Simu hizi zinatumia chipset za juu zaidi kwenye smartphones za 2022 mfano Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2, Bionic A16 chipset, Google Tensor G2, etc. Pia ni simu zenye uwezo na ubora wa hali ya juu zaidi kwenye kamera, kioo, software, features, charging speed, speakers, water resistance, gaming perfomance na kila kitu. Ni nzuri ila bei nazo zimechangamka Pia flagship huwa na muonekano premium ili kuzitofautisha na simu za bei rahisi. Flagship nyingi za 2022 zinapatikana kwa bei ya shilingi milioni 2 hadi 4 na kuendelea.
  • Midrange smartphones ni zile simu zenye uwezo wa kati. Yaani hazipo juu hazipo chini ni standard. Zinatumia chipset ambazo ni weaker kuliko chipset za flagship ila ni stronger kuliko chipset za low-end smartphones. Mfano midrange nyingi za Xiaomi ni baadhi ya Redmi na POCO, na kwa Samsung midrange ni baadhi ya A-series. Mfano wa midrange phones za 2022 ni Xiaomi Redmi Note 12 Pro, Samsung Galaxy A73 5G, Samsung Galaxy A53 5G. Xiaomi Redmi Note 12 Pro Plus, Infinix Note 12 Pro, Oppo Reno 7, TECNO Camon 19Pro, Xiaomi Civi 2, Xiaomi POCO F3 Pro, pamoja na simu nyingine nyingi. Chipset za midrange phones ni kama MediaTek Dimensity 700, Qualcomm Snapdragon 778G, MediaTek Helio G99 na kadhalika. Kwa midrange za 2022 be inaweza kuanzia laki 5 hadi milioni 1 na nusu.
  • Low-end smartphone/ entry level smartphones ndio simu za chini hizi za laki tatu tatu laki nne, hizi zimejaa bila shaka unazijua bhana
Lakini angekuja CHIEF MKWAWA angeelezea vizuri zaidi.
 
- Flagship ni zile simu ambazo kampuni ya simu inakuwa imewekeza teknolojia yake yote kwa asilimia kubwa na kuwa miongoni mwa simu bora zaidi kwenye mwaka husika. Lakini sio kila kampuni ya simu hutengeneza flagship, HMD Global hawatengenezi flagship kwa simu zao za Nokia. Karibia kila kitu kwenye flaghip ni highend. Kwa mfano Samsung Galaxy S22 Ultra, iPhone 14 Pro Max, Google Pixel 7 Pro, Xiaomi 12S Ultra, Xiaomi 13 Pro na Vivo X90 Pro Plus ni baadhi ya flagship za 2022. Simu hizi zinatumia chipset za juu zaidi kwenye smartphones za 2022 mfano Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2, Bionic A16 chipset, Google Tensor G2, etc. Pia ni simu zenye uwezo na ubora wa hali ya juu zaidi kwenye kamera, kioo, software, features, charging speed, speakers, water resistance, gaming perfomance na kila kitu. Ni nzuri ila bei nazo zimechangamka Pia flagship huwa na muonekano premium ili kuzitofautisha na simu za bei rahisi. Flagship nyingi za 2022 zinapatikana kwa bei ya shilingi milioni 2 hadi 4 na kuendelea.
  • Midrange smartphones ni zile simu zenye uwezo wa kati. Yaani hazipo juu hazipo chini ni standard. Zinatumia chipset ambazo ni weaker kuliko chipset za flagship ila ni stronger kuliko chipset za low-end smartphones. Mfano midrange nyingi za Xiaomi ni baadhi ya Redmi na POCO, na kwa Samsung midrange ni baadhi ya A-series. Mfano wa midrange phones za 2022 ni Xiaomi Redmi Note 12 Pro, Samsung Galaxy A73 5G, Samsung Galaxy A53 5G. Xiaomi Redmi Note 12 Pro Plus, Infinix Note 12 Pro, Oppo Reno 7, TECNO Camon 19Pro, Xiaomi Civi 2, Xiaomi POCO F3 Pro, pamoja na simu nyingine nyingi. Chipset za midrange phones ni kama MediaTek Dimensity 7000, Qualcomm Snapdragon 778G, MediaTek Helio G99 na kadhalika. Kwa midrange za 2022 be inaweza kuanzia laki 5 hadi milioni 1 na nusu.

Yaani umempa mifano kabisa mkuu ashindwe tu
 
Flagship zinabeba top specs na recent tech za huo mwaka. Focus kubwa inakuwa kwenye chipset (latest chip technology inawekwa humu), camera, display & design. Hayo ndo maeneo makubwa makampuni ya simu wanafocus wanapotengeneza flagship zao.

Hizi ni simu ambazo kampuni husika haiwezi afford kukosea. Sio za kufanyia majaribio. Zinatangaza jina la kampuni. Ni prestige ya kampuni.
 
hapana flagship ni simu inayobeba jina la kmapuni kwa mwaka husika,mwaka huu tunatarajia kuwa na s23,23plus,23 max.
hizi ndizo zitabeba jina la kumpuni ya samsung,ubora wote wa simu kwa mwaka huu ktk simu utaukuta humo.

kutakuwa na fold models ambazo zitauzwa mpaka 5milioni pia,lakini sio flagship.
Ahsante hapa umenipa mwanga san
 
- Flagship ni zile simu ambazo kampuni ya simu inakuwa imewekeza teknolojia yake yote kwa asilimia kubwa na kuwa miongoni mwa simu bora zaidi kwenye mwaka husika. Lakini sio kila kampuni ya simu hutengeneza flagship, HMD Global hawatengenezi flagship kwa simu zao za Nokia. Karibia kila kitu kwenye flaghip ni highend. Kwa mfano Samsung Galaxy S22 Ultra, iPhone 14 Pro Max, Google Pixel 7 Pro, Xiaomi 12S Ultra, Xiaomi 13 Pro na Vivo X90 Pro Plus ni baadhi ya flagship za 2022. Simu hizi zinatumia chipset za juu zaidi kwenye smartphones za 2022 mfano Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2, Bionic A16 chipset, Google Tensor G2, etc. Pia ni simu zenye uwezo na ubora wa hali ya juu zaidi kwenye kamera, kioo, software, features, charging speed, speakers, water resistance, gaming perfomance na kila kitu. Ni nzuri ila bei nazo zimechangamka Pia flagship huwa na muonekano premium ili kuzitofautisha na simu za bei rahisi. Flagship nyingi za 2022 zinapatikana kwa bei ya shilingi milioni 2 hadi 4 na kuendelea.
  • Midrange smartphones ni zile simu zenye uwezo wa kati. Yaani hazipo juu hazipo chini ni standard. Zinatumia chipset ambazo ni weaker kuliko chipset za flagship ila ni stronger kuliko chipset za low-end smartphones. Mfano midrange nyingi za Xiaomi ni baadhi ya Redmi na POCO, na kwa Samsung midrange ni baadhi ya A-series. Mfano wa midrange phones za 2022 ni Xiaomi Redmi Note 12 Pro, Samsung Galaxy A73 5G, Samsung Galaxy A53 5G. Xiaomi Redmi Note 12 Pro Plus, Infinix Note 12 Pro, Oppo Reno 7, TECNO Camon 19Pro, Xiaomi Civi 2, Xiaomi POCO F3 Pro, pamoja na simu nyingine nyingi. Chipset za midrange phones ni kama MediaTek Dimensity 7000, Qualcomm Snapdragon 778G, MediaTek Helio G99 na kadhalika. Kwa midrange za 2022 be inaweza kuanzia laki 5 hadi milioni 1 na nusu.
  • Low-end smartphone/ entry level smartphones ndio simu za chini hizi za laki tatu tatu laki nne, hizi zimejaa bila shaka unazijua bhana
Lakini angekuja CHIEF MKWAWA angeelezea vizuri zaidi.
Nime kubali aiseee kumbe Mimi natumia low end product yaani hata kwenye midrange sijafika
 
Flagship zinabeba top specs na recent tech za huo mwaka. Focus kubwa inakuwa kwenye chipset (latest chip technology inawekwa humu), camera, display & design. Hayo ndo maeneo makubwa makampuni ya simu wanafocus wanapotengeneza flagship zao.

Hizi ni simu ambazo kampuni husika haiwezi afford kukosea. Sio za kufanyia majaribio. Zinatangaza jina la kampuni. Ni prestige ya kampuni.
Ulisha wahi kutumia flagship? Ya kampuni yoyote
 
View attachment 2465828
Samsung S23 Ultra inatarajiwa kutoka Februari mwaka huu na pia tetesi ni kwamba simu hiyo itakuja na kioo flat kabisa tofauti na ilivyo kwa toleo lililopita (Galaxy S22 Ultra)View attachment 2465832
Samsung Galaxy S22 Ultra ilikuwa na curved screen yaani kioo chake kilikuwa curved na sio kila mtu atavutiwa na hii design.View attachment 2465836
Kumekuwa na malalamiko kuwa curved screen kwenye Samsung Galaxy S22 Ultra imepelekea ugumu katika kutumia S Pen kwenye display ya simu hiyo. Watumiaji wanasema kuwa wakati wa kutumia hiyo S Pen kwenye S22 Ultra basi peni ilitelezea kirahisi kuelekea kwenye edge za kioo cha simu. View attachment 2465841
Pia inasemekana kuwa vioo curved viko kwenye risk kubwa ya kupasuka simu itakapoanguka chini ukilinganisha na flat screens hivyo watumiaji wamelalamika na kudai warudishiwe flat screen. Kwenye muundo Samsung Galaxy S22 Ultra ina boxy design kama unavyoiona kwenye picha kwa hiyo hata S23 Ultra itakuwa na boxy design hivyohivyo tena hiyo itakuwa ni zaidi. View attachment 2465844
Vioo curved pia vina advantage zake mojawapo ni kwamba zinasaidia kuboresha muonekano wa display kwa sababu simu inakuwa haina bezel kabisa.View attachment 2465846
Kitu kilichonivutia kwenye Samsung Galaxy S22 Ultra ni kwamba S Pen iko built-in kwenye simu yaani ukinunua unaikuta.View attachment 2465848
Hii ni tofauti na kampuni kama Xiaomi ambao wao smart pen zao huwa zinauzwa kivyake, huzikuti kwenye boksi la simu.View attachment 2465849 Xiaomi Stylus Pen ni nzuri lakini ingependeza kama ingekuwa inauzwa pamoja na simu. Kwa kuwa inauzwa peke yake basi bei ni kubwa, inafika hadi TSh 200,000/=
View attachment 2465851
Pia siku hizi tumeona namna simu zenye curved display zilivyotrend hadi makampuni makubwa tofauti na Samsung yanatoa flagship zenye curved displays. Binafsi navutiwa na simu zenye curved displays kwa sababu appearance inakuwa kali sana..
Mfano wa simu za makampuni mengine makubwa ambazo zina curved displays ni
Google Pixel 7 ProView attachment 2465853
Xiaomi 13 ProView attachment 2465860
Oppo Find X5 ProView attachment 2465861
Motorola Edge 30 UltraView attachment 2465863
Vivo X90 Pro PlusView attachment 2465866
Acha mwaka uendelee, naona soon Samsung atakuja kutoa best phone in the world kwa muda kisha Xiaomi naye atatoa Xiaomi 13S Ultra na atamfunika Samsung naye iPhone atafanya hivyohivyo halafu mwaka utaisha
February hiyohiyo tarehe 7 OnePlus 11 itazinduliwa
 
Tutaona itakuja na maajabu gani
Tusubiri mkuu
Screenshot_20230110-130917.jpg
Screenshot_20230110-130936.jpg
 
Back
Top Bottom