Samsung galaxy S21 ultra is far better kwa iphone 13 pro max

Samsung galaxy S21 ultra is far better kwa iphone 13 pro max

Nimeangalia ratings nyingi na comparisons nyingi bado S21 Ultra iko at par na Iphone 13 pro max.

Mimi pia natumia S21 Ultra. Mimi nikiweka 120hz nakaa na chaji zaidi ya 8 hours with full usage.

Mimi ni heavy user wa simu kwenye hizi normal operations kama kupiga, emails, text, WhatsApp, video calls nk lakini bado simu inakaa na chaji zaidi ya 8hrs.

Iphone siku wakiondoa lile dirisha ama notch pale juu ndio nitazinunua.
simu inayokaa na charge 8hrs ina maana utembee na dungu la charger mfukoni
unawezaje kusifia ukaaji chaji wa simu ambayo haumalizi siku ?
unless hizo heavy use emails, video calls, texting unazifanya umekaa nyumbani siku nzima
na hata nyumbani bado unaweza kuzinguliwa na January Maharage, katangaza mgao jana
 
Haujamuelewa mzee hayo masaa 8 ni screen on time
 
Kwenye camera yamkini wengi watakupinga ila kwa sasa Samsung anatoa camera saaaana ktk simu zake kuliko iphone.

Upande wa Display tusizungumzie maana tutakuwa tunamfanyia dhihaka Samsung.
 
Back
Top Bottom