Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
- Thread starter
- #21
Yes, kwa samsung una uwezo wa kichagua mwenyewe ubora wa kioo uutakao na kadiri unavyochagua resolution kubwa ndivyo ulaji wa battery huongezeka.Mkuu kumbe hizi refresh rate una option ya kutoa kutoka 120 kwenda 60
Mi nikiondoa always on display ambayo kwa iphone haipo, wqhd+ na 60hz inakaa na chaji zaidi ya hiyo 13 pro max.