Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Kuna chuma kinaitwa Oppo find X2 PRO. Huyo samsung akalale.

Wakati samsung s20 ultra anaweka 120Hz kwa FHD

Oppo find x2 pro anakuwekea 120Hz kwa QHD+

Sijataka kugusa maeneo mengine...

Halafu kuna mnyama mwingine anakuja tar 26 mwezi huu. Huawei p40 pro premium.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oppo wanajitahidi ila hawana ubavu wa kushindana na Samsung kutengeneza Flagship. Flagship za Samsung ni nzuri all Around kuanzia quality ya vioo, software, camera, mics, etc.

Kwa kampuni za kichina kama unataka kununua Flagship tafuta oneplus ya Dola 400 utulie, ila kutoa dola 1000 kununua ni kupoteza tu hela.
 
1. Manufacturer wa kioo cha S20 ultra na Oppo X2 PRO ni mmoja. Naye ni samsung. Zote ni amoled. Na cha kushangaza zaidi display ya oppo ndio nzuri zaidi sababu ina specs za juu kuanzia colour depth, pixel density n.k.

2. Kwenye Issue ya Softaware ni kweli Oppo alilalamikiwa sana kwenye simu za nyuma. Hii find x2 pro software yake imekuwa iproved pakubwa sana mpaka wanasema ni kama imekuwa kama Oxygen Os ya One plus. Pia ukimbuke Oppo na One plus ni watoto wa baba mmoja na baba yao ni BBK Electonics ambapo watoto wengine pia ni Vivo na Realme.

3. Kwa upande wa camera. Kwa reviews nilizoangalia kuna upande Oppo anafanya vizuri including stabilazation kwenyw upande wa video. Pia kuna upande samsung anafanya vizuri.

Kapitie reviews za hiyo simu siyo kama Oppo zingine unazozijua mkuu.

Pia kwa sasa simu yenye best camera ni mi 10 pro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Manufacturer wa kioo cha S20 ultra na Oppo X2 PRO ni mmoja. Naye ni samsung. Zote ni amoled. Na cha kushangaza zaidi display ya oppo ndio nzuri zaidi sababu ina specs za juu kuanzia colour depth, pixel density n.k.

Una ushahidi ni samsung alietengeneza hio display? Specs zinaonesha ni Amoled ila hazijasema ni super Amoled, usichanganye oppo X2 na Realme x2, X2 ya realme ndio super amoled.

Software ni pana mkuu hapa umeongelea tu stability ya hio software kuna vitu kama
1. Features za hio software
2. Updates mbalimbali za baadae
3. 3rd party support na vitu kama Bootloader unlock etc
Mpaka leo simu kama Galaxy s2 ina support nzuri tu ya developers sababu samsung ni rafiki wa developers.

Nafahamu mkuu lakini dola 1000? Oppo?
Huyo oneplus ndio ni ndugu yake ila atatoa simu nzuri kama Hii na bei itakuwa nusu yake.
 
Nasikia waneondoa audio jack.

Mimi kwangu hapo ni dealbreaker.

I can use bluetooth, but I like to have options.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Oneplus 8pro?
Hizi pro mkuu mara nyingi ni namna ya kutoza watu hela nyingi, kama oneplus ya kawaida itakuja na sd 865 inatosha, cha muhimu ni soc ram ya 12gb na 8gb kwa mtu wa kawaida haina maana sana, na difference nyengine zinakuwa hazina maana sana.

Hata hizi samsung hii s20 ultra haina jambo lolote la maana linalofanya ulipe milioni zaidi ya s20/20 plus.
 

Iphone 12 inaweza kuwa balaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
One plus zinapanda bei kila mwaka. Hujanotice hicho kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…