Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
Samsung S5 ina Super amoled, inamaana hicho lcd ni fake, wanaweza pia kuandika super Amoled na kikawa fake vile vile.Mkuu hbr?
Nahitaji kioo/display cha/ya samsung S5 (SM G900P)..sasa nimeona lcd, amoled, super amoled nn tofauti yake kabla sijaungua..
Hlf lcd screen na touch screen na super amoled lcd ni sawa au tofauti?
Mkuu shukhrani kwa huu ushauri ntaufanyia kazi! Huu ni mwepesi kias fln kwa asilimia kubwa!Kama unaweza zunguka zunguka kwa mafundi angalia kama utapata kioo genuine kizuri kutoka simu nyengine.
Ni kioo cha ndani kama sijakosea kujibu!Na simu imeharibika kioo cha ndani ama cha nje tu?
Ndio mkuu ni sahihiNi kioo cha ndani kama sijakosea kujibu!
Hii S5 ilianguka kwenye tiles na ikazima mazima, fundi akaniambia ni display imekufa hivyo nitafute mpya!
Kuna s6 edge + yenyew ilianguka pia kwenye tiles, kuna wino umevuja ndani na pia mwanga wa screen unacheza cheza, zote nimeambiwa ni display..je ni sahihi kote?
Ni kioo cha ndani kama sijakosea kujibu!
Hii S5 ilianguka kwenye tiles na ikazima mazima, fundi akaniambia ni display imekufa hivyo nitafute mpya!
Kuna s6 edge + yenyew ilianguka pia kwenye tiles, kuna wino umevuja ndani na pia mwanga wa screen unacheza cheza, zote nimeambiwa ni display..je ni sahihi kote?
Shida si ndy hiyo wanaeza andika tofauti na unachohitaji!Pia waweza ingia online Aliexpress ukaagizia kwa bei nzuri kabisa mzigo ukafika in 3 weeks na ukapeleka kwa fundi kukufungia tu
Tatizo bongo ujanja mwingi na anaweza kukufungia kioo cha LCD kwa bei ya Amoled
Shida si ndy hiyo wanaeza andika tofauti na unachohitaji!
Hiv vioo ni ghali hata online hukohuko..
Shukhrani Bro VCheck Aliexpress na angalia reputation ya feedback aliyopata muuzaji.
Ni rahisi sana
Ndugu! Ulinunua bei gani?Ni kweli cheaf hapa natumia note 3 ina miaka 7 sasa ila sioni tatizo lolote ina android 4.4.2 battery life iko poa 100% nimenunua battery mpya 1 year warranty inakaa na chaji siku nzima. Performance yake ni nzuri kuliko hata midrange zinazotoka miaka hii iko faster sana. Kioo na kamera viko high quality naweza sema hii simu yaweza kuishi miaka mingi zaidi. Most important app zipo supported. Sioni haja yakutumia custom rom kwa kuwa mashine inapiga kazi fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1]mimi sijavutiwa na bei, siwezi kua na akili timamu halafu nikawa natembea na ngome 6 walioshiba mfukoni, never.
Kwa jinsi unavyotumia bado hakuna simu imaweza kukaa hata 10 hours.Nyie ndo heavy user ila simu ikiweza kuvuka 6hour screen on time ni uwezo mkubwa pia. Cha msingi isizingue upige kazi zako mwanzo mwisho bila kuborekaHapo kusema inakaa siku nzima sema kulingana na ww me nikishika hiyo inaeza isifike sa nane mchana [emoji16] sisi ndo watu pekee simu inaeza waka kioo mfulilizo bila kuzima for upto 6hrs kisha kinapumzika dk mbil ukienda chooni ukirud unaendelea tena[emoji4][emoji4]
Kwa jinsi unavyotumia bado hakuna simu imaweza kukaa hata 10 hours.Nyie ndo heavy user ila simu ikiweza kuvuka 6hour screen on time ni uwezo mkubwa pia. Cha msingi isizingue upige kazi zako mwanzo mwisho bila kuboreka
Sent using Jamii Forums mobile app