Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,491
Wakuu wanajukwaa habari zenu,

Ni siku kadhaa zimepita tangu Samsung Galaxy walaunch Samsung S20. Ni simu ambayo imeonesha kuvunja record hasa kwenye camera, System operating nk. Na wamemfunika iphone 11 mbali.

Je ni kitu gani hujakipenda kwenye samsung S20? Lets discuss about S20 Ultra

IMG_0419.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1379101

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna mwenye nayo hapa
 
Weka specification zake zote hapa muu. Acha mbwe mbwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko vizuri sana....but sijawahi kuwa fan wa hiyo camera layout...
Wakuu wanajukwaa habari zenu,

Ni siku kadhaa zimepita tangu Samsung Galaxy walaunch Samsung S20. Ni simu ambayo imeonesha kuvunja record hasa kwenye camera, System operating nk. Na wamemfunika iphone 11 mbali.

Je ni kitu gani hujakipenda kwenye samsung S20? Lets discuss about S20 Ultra

View attachment 1379101

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Litakua limChina
Wakuu wanajukwaa habari zenu,

Ni siku kadhaa zimepita tangu Samsung Galaxy walaunch Samsung S20. Ni simu ambayo imeonesha kuvunja record hasa kwenye camera, System operating nk. Na wamemfunika iphone 11 mbali.

Je ni kitu gani hujakipenda kwenye samsung S20? Lets discuss about S20 Ultra

View attachment 1379101

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka specification zake zote hapa muu. Acha mbwe mbwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
NETWORKTechnologyGSM / CDMA / HSPA / EVDO / LTE / 5G2G bandsGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2

(Dual SIM model only) CDMA 800 / 1900 & TD-SCDMA3G bandsHSDPA 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100 CDMA2000 1xEV-DO4G bandsLTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 13(700), 14(700), 18(800), 19(800), 20(800), 25(1900), 26(850), 28(700), 29(700), 30(2300), 38(2600), 39(1900), 40(2300), 41(2500), 46(5200), 48, 66(1700/2100), 71(600) - SM-G988U5GSA/NSA/Sub6/mmWave
5G band 2(1900), 5(850), 41(2500), 66(1700), 71(600), 260(39 GHz), 261(28 GHz), - SM-G988USpeedHSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE-A (7CA) Cat20 2000/200 Mbps; 5G (5+ Gbps DL)

LAUNCHAnnounced2020, February 11StatusAvailable. Released 2020, March 6

BODYDimensions166.9 x 76 x 8.8 mm (6.57 x 2.99 x 0.35 in)Weight222 g (7.83 oz)BuildGlass front (Gorilla Glass 6), glass back (Gorilla Glass 6), aluminum frameSIMSingle SIM (Nano-SIM and/or eSIM) or Hybrid Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by) Samsung Pay (Visa, MasterCard certified)
IP68 dust/water resistant (up to 1.5m for 30 mins)

DISPLAYTypeDynamic AMOLED 2X capacitive touchscreen, 16M colorsSize6.9 inches, 114.0 cm2 (~89.9% screen-to-body ratio)Resolution1440 x 3200 pixels, 20:9 ratio (~511 ppi density)ProtectionCorning Gorilla Glass 6 HDR10+
Always-on display
120Hz@FHD, 60Hz@QHD

PLATFORMOSAndroid 10.0; One UI 2ChipsetExynos 990 (7 nm+) - Global
Qualcomm SM8250 Snapdragon 865 (7 nm+) - USACPUOcta-core (2x2.73 GHz Mongoose M5 & 2x2.50 GHz Cortex-A76 & 4x2.0 GHz Cortex-A55) - Global
Octa-core (1x2.84 GHz Kryo 585 & 3x2.42 GHz Kryo 585 & 4x1.8 GHz Kryo 585) - USAGPUMali-G77 MP11 - Global
Adreno 650 - USAMEMORYCard slotmicroSDXC (uses shared SIM slot)Internal128GB 12GB RAM, 256GB 12GB RAM, 512GB 16GB RAM UFS 3.0MAIN

CAMERAQuad108 MP, f/1.8, 26mm (wide), 1/1.33", 0.8µm, PDAF, OIS
Periscope 48 MP, f/3.5, 103mm (telephoto), 1/2.0", 0.8µm, PDAF, OIS, 10x hybrid optical zoom
12 MP, f/2.2, 13mm (ultrawide), 1.4µm, Super Steady video
0.3 MP, TOF 3D, f/1.0, (depth)FeaturesLED flash, auto-HDR, panoramaVideo4320p@24fps, 2160p@30/60fps, 1080p@30/60/240fps, 720p@960fps, HDR10+, dual-video rec., stereo sound rec., gyro-EIS & OISSELFIE CAMERADual40 MP, f/2.2, 26mm (wide), 0.7µm, PDAFFeaturesDual video call, Auto-HDRVideo2160p@30/60fps, 1080p@30fpsSOUNDLoudspeakerYes, with stereo speakers3.5mm jackNo 32-bit/384kHz audio
Tuned by AKGCOMMSWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac/ax, dual-band, Wi-Fi Direct, hotspotBluetooth5.0, A2DP, LEGPSYes, with A-GPS, GLONASS, BDS, GALILEONFCYesRadioFM radio (USA & Canada only)USB3.2, Type-C 1.0 reversible connector, USB On-The-GoFEATURESSensorsFingerprint (under display, ultrasonic), accelerometer, gyro, proximity, compass, barometerMessagingSMS(threaded view), MMS, Email, Push Email, IMBrowserHTML5 ANT+
Bixby natural language commands and dictation
Samsung DeX (desktop experience support)BATTERY Non-removable Li-Po 5000 mAh batteryChargingFast battery charging 45W
USB Power Delivery 3.0
Fast Qi/PMA wireless charging 15W
Power bank/Reverse wireless charging 9WMISCColorsCosmic Grey, Cosmic BlackModelsSM-G988, SM-G988U, SM-G988U1, SM-G9880, SM-G988B/DS, SM-G988NSAR0.94 W/kg (head) 0.95 W/kg (body) SAR EU0.32 W/kg (head) 1.56 W/kg (body) Price$ 1,389.99 / € 1,349.00 / £ 1,194.99TESTSPerformanceAnTuTu: 415976 (v7), 514485 (v8)
GeekBench: 12191 (v4.4), 2697 (v5.1)
GFXBench: 21fps (ES 3.1 onscreen)DisplayContrast ratio: Infinite (nominal)CameraPhoto / VideoBattery lifeEndurance rating 87h

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wanajukwaa habari zenu,

Ni siku kadhaa zimepita tangu Samsung Galaxy walaunch Samsung S20. Ni simu ambayo imeonesha kuvunja record hasa kwenye camera, System operating nk. Na wamemfunika iphone 11 mbali.

Je ni kitu gani hujakipenda kwenye samsung S20? Lets discuss about S20 Ultra

View attachment 1379101

Sent from my iPhone using JamiiForums
Battery ikoje isije kuwa kama za Note series!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi hakuna jipya zaid yaa micamera tu sijui wanataka kila mtu awe camera man
Wameniboa sana, nje ya zoom hakuna kitu kipya kabisa.

Niliachana na matakataka ya apple(kuuziwa utumbo wa kuku lefu 20 wakati kuku mwenyewe anatoka 15) na kuhamia samsung ila simu ya mwisho kua impressed nayo ni s10 ya mwaka jana na ndio natumia sasa, note 10 na hii s20 sijaona kipya kabisa.

Samsung walinivutia kwa kuweka high end specs kwenye simu kwa bei poa sana, sasa na wao wanaanza uhuni, nje ya zooming na screen kubwa hakuna kipya kwa s20 nje ya s10.

Nilikua na mpango wa kununua ila nimeghaili, ngoja niendelee na hii s10+ yangu labda note 20 itakua hot ninunue huko September.
 
Back
Top Bottom