samsung galaxy s2 white

samsung galaxy s2 white

Achahasira

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,213
Reaction score
215
habari zenu wakuu nauza samsung galaxy s2 16gb white inakuja na boxi na kila kitu ni mpyaa kabisa


bei 700,000


namba ya simu 0688112112,0688033330
 
galaxy s2 16gb kuna model kama sita hivi, mfaano I777 au Epic 4 touch au T989 au I9100 au I9100G?
 
kama una Epic 4 au I1900G nikupe 600000
 
samahani kwa kuchelewa kujibu wakuu ni international version ya i9100 ataye nipa 650 sawa,tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu. nipo dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom