Simu tajwa hapo juu inastuck kila baada ya dak kadhaa adi nizime na kuwasha ndo ina fanya kaz nimejaribu kuifanyia factory reset lakini bado ina freez hovyo tu.yeyote mwenye idea nifanye nin anaweza share na mimi plz
Nimejaribu kufanya kama mlivo nielekeza wadau lakin bado ina stuck ata nikiwa nimezima naichaji...
Nimejaribu kufanya kama mlivo nielekeza wadau lakin bado ina stuck ata nikiwa nimezima naichaji...