Samsung Galaxy s10 haingiizi charge

Samsung Galaxy s10 haingiizi charge

dumbi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2018
Posts
988
Reaction score
1,545
Habari zenu wataalaam ,naomba msaada cm tajwa hapo juu haingiizi charge, ukiiweka kwenye charge inaleta alama ya kucharge Kisha inapotea inafanya hivyo hivyo bila ya asilimia kuongezeka.

Nimejaribu kubadilisha charger na USB tatizo bado lipo je nifanyeje kuondoa hili tatizo?

Asante
 
Toka umeinunua ni muda gani mpaka leo? inaonyesha Betri imesha kufa tayari,badili betri Mkuu.
 
Asante nitalifanyia kazi

Kabla haujabadilisha betri inawezekana tatizo lisiwe sio betri mm nlikuwa na tatizo kama hilo kwa Nokia nilipeleka kwa fundi third party kwa vile Tz hakuna wa official Nokia..na tatizo halikuwa betri wali fix kitu kingine kuhusiana na system charger.

Cha msingi nenda kwa Samsung wakusaidie kurekebisha au hata kwa fundi wa third party anaeaminika ambae yuko professional sio uchochoroni maana ni flagship hiyo.
 
Angalia system charge ikiwezekana uibadilishe.

Inaonekana hakuna mawasiliano mazuri kati ya betri na system charge.
 
Nashukuru wakuu bado nahangaika nayo nimeagiza wireless charger nayo niijaribu ikigoma ndio naenda kwa fundi
 
Badl betr simu n nzma wirelss charger Ndo ziko weak zaid compared na wired hamna kitu Ata ikiwaka jiandae kwa matatzo ya kuzma na 70percent
 
Wakuu wireless charger ilifika nimeweka imecharge fresh saizi niko hewani kama kawa.
 
Back
Top Bottom