Hapo kwenye read u wish! Si wangeanza na mafriji na Tv lol
I admire your passion for nokia,....... but did you here Sumsung and Apple have 99% of the profits of the mobile phone market au wewe upo kwenye lile kundi wanaochagua only what they want to hear...... its that way for a good reason market force mainly innovation and our friends @ nokia have been left behind...nokia lumia s nayo ndio samsung sIII killer japo haijatoka ila ni baab kubwa
![]()
Kuna siku mtazamaji alisema nokia wametoa camera ya pureview 41 mp akasema kama mpenz wa nokia subiri version yake ya window phone sasa hioo inakuja
Nokia lumia s bado haijatoka ila rumors kama kawaida zimetoka
Video itachukua 2160p compare na iphone 4s yenye 1080 camera ndo hivo 41mp
For the first time wanatoa double core processor 1.5 na ram itakua 2gb
Angalia image kwa specific zaid
@ chief-mkwawa tatizo lako unaingiza "Nokia" concepts kwenye emotions zako, unajisahau kabisa kuwa kuna blog za watu wa kawaida wamefungua kuelezea kile wanachojiskia kuhusu Nokia,, hakuna simu mpaka sasa iliyotengenezwa Na 41MP mpaka sasa, hizo bado ni concept phones!!! Ni wajibu wako kushikilia hilo kichwani!! Na unasifia Nokia wakati mpaka sasa 2012 hawajatoa simu hata moja yenye Dual Core processor, Samsung G SIII tayari inatumia Quad Core, Apple wameweka Quad Core Graphics kwenye iPad 3!! Nokia kuna nini kipya? Wanabadilisha color tu ya housing za simu!!
shiny na wewe hiyo simu umeiona kwa macho au vipi, mbona link yako inaonyesha vizuri kuwa "Status Coming soon. Exp. release 2012, May" au huoni? subiri kwanza waiRelease kama ilivyo kawaida ndo muanze kuiongelea, unaezashanga wamegundua fault kwenye simu wakaiDeclare kama Industrial Failure na wasiitoe,,mnachobisha ni nini nyie chif mkwawa upo right hivi vitu kumbe bado taarifa hamjazijua kama unabisha gonga hapa Nokia 808 PureView - Full phone specifications
wireless charging mbna k2 cha kawaida
nitajie model ya hiyo simu yenye camera ya forty one megapixels!Yo, u need to be up to date. Nokia wanayo simu ya 41 megapixels and its a symbian OS powered phone!
nitajie model ya hiyo simu yenye camera ya forty one megapixels!
shiny na wewe hiyo simu umeiona kwa macho au vipi, mbona link yako inaonyesha vizuri kuwa "Status Coming soon. Exp. release 2012, May" au huoni? subiri kwanza waiRelease kama ilivyo kawaida ndo muanze kuiongelea, unaezashanga wamegundua fault kwenye simu wakaiDeclare kama Industrial Failure na wasiitoe,,
@ chief-mkwawa tatizo lako unaingiza "Nokia" concepts kwenye emotions zako,
![]()
unajisahau kabisa kuwa kuna blog za watu wa kawaida wamefungua kuelezea kile wanachojiskia kuhusu Nokia,, hakuna simu mpaka sasa iliyotengenezwa Na 41MP mpaka sasa, hizo bado ni concept phones!!! Ni wajibu wako kushikilia hilo kichwani!! Na unasifia Nokia wakati mpaka sasa 2012 hawajatoa simu hata moja yenye Dual Core processor, Samsung G SIII tayari inatumia Quad Core, Apple wameweka Quad Core Graphics kwenye iPad 3!! Nokia kuna nini kipya? Wanabadilisha color tu ya housing za simu!!