Hiyo ni Samsung Galaxy S III na Sio Note III kama ulivyoandika!! rekebisha heading, Note III bado haijatoka...Mkuu picha hizi hapa, mtaniwia radhi kwa quality ndogo ya picha, natumia mchina double line ya charger ya pin ndogo.... pia mwenye uwezo wa kukuza hizi picha anisaidie.....