Unauza kitu ambacho bado hakijawa released.....! Au hiyo ni Note III gani unayoizungumzia?!Wakuu nauza simu tajwa hapo juu. Kwa wanaoifahamu, bei ni 725,000/=
Haijatumka. Nitaweka picha baadae..
Tuwasiliane mkuu..!
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu. Kwa wanaoifahamu, bei ni 725,000/=
Haijatumka. Nitaweka picha baadae..
We jamaa ni mkaliiiiii mbaya, unauza kitu ambacho hakijaingia hata kwenye soko la dunia alafu laki 7.5 duh yaani hata s4 haiuzwi hivyo! Sema unauza mchiza fanya hata laki 4 watu wakupe hela
Hahahahaaa .... ntapandisha picha hapa utanambia ni model gani mkuu.. labda mie ndo nimechemka specifications.... salute..
Haifunguki link hii..
Duh, umepata prototype nn, angalia wale jamaa wasikukamate maana hiyo model inategemewa kuzinduliwa kesho,,Wakuu nauza simu tajwa hapo juu. Kwa wanaoifahamu, bei ni 725,000/=
Haijatumka. Nitaweka picha baadae..